farharu
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 527
- 588
Daaaah mie nakumbuka siku ya kwanza tu mshua ananiacha skuli baada ya dk5 naibiwa viatu
Pia nakumbuka ule uji tuliokuwa tukinywa sukari tunaipata kwa hisia tu
Siku ya disco tulikiwa tunaenda kijiji cha jirani kunyoa nywele tunaenda lundo kama mtu hamsini hivi
Wizi wa karanga kwa wanakijiji
Kujisaidia kwenye mashamba ya wanakijiji
Nakumbuka siku moja jamaa yetu mmoja alikamatwa anadigi kwenye shamba la mwanakijiji basi alibebeshwa kinyesi chake mpaka assembly
Nakumbuka miaka ile kuoga ilikuwa ni dhambi
Uniform ni nyeupe lakini baada ya wiki kadhaa zinakuwa km sare za magereza
Weekend kuzama mnadani kunywa gongo huko huko tunakutana na walimu wetu lkn hawakufanyi kitu wanasema ya kaisati muachie kaisari...Lakini kiukweli maisha ya boarding yamenibadilisha sana ktk maswala ya kugangamara