Nyumba inauzwa Kigamboni Kisiwani bei poa

tifa

Member
Apr 19, 2011
53
5
Ipo kigamboni kisiwani
Metre 100 kutoka barabara ya lami.

Inavyumba vitatu vya kulala, na masterbedroom Jiko,sitting room,na dinning.

Km 4 kutoka ferry na km 2 kutoka darajani
Ukubwa wa eneo square meter 600
Bei mil 120 kwa mawasiliano 0715919296
c5096f1941a561ec4f1238aa8db9e9ed.jpg
da493c84c3d19f4d64c1799fc94f5d5c.jpg
196070a2e1c421a457bed65b8c56de0f.jpg
ea97f7d751a912d6a4af07d69833846c.jpg
c49d05ada1d043a56d1a86efeb08236f.jpg
b0f1173b76afb54305da97d8d09323e1.jpg
 
Wanunuzi wa bei hizo wamebaki wachache sana.
10m - 20m angalau angalau.
 
Ningekuwa serious buyer ningeomba picha ya nyumba ikiwa imepigwa full..lkn tusijaze server bure...pia ningetaka kujua kama we ndo mmiliki au dalali..nakutakia heri tu mm uuze mjengo huo
 
Ningekuwa serious buyer ningeomba picha ya nyumba ikiwa imepigwa full..lkn tusijaze server bure...pia ningetaka kujua kama we ndo mmiliki au dalali..nakutakia heri tu mm uuze mjengo huo
Ivi kweli mwenye nyumba Anaweza akawa yupo Jamii Forum. Wengi wenye izo nyumba ni watu wazima. Labda awe mtoto wa mwenye nyumba
 
Kwa maisha ya sasa yanavyo endelea ununuzi au uzaji wa nyumba utakuwa mgumu sn kutokana na hali halisi ya sasa ya Tanzania .

Kila mtu anajaribu kufanya saving na kujiepusha na gharam zisizo za msingi .....kwa watu wenye nyumba au viwanja sasa hivi sio wakat muafaka wa kuuza ni kushusha thamani ya kitu chako ..
Mfn utaanza bei milion 100 ...hutopata utashuka mil80 utopata ....60 utopata mwisho utapata khasara t.

Japo wapo wenye bahati zao kwa wakat huu lkn weng ni vilio t.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom