Samaki wa mapambo bei nafuu na elimu yake bure rahisi sana

telescope wapo bei chee
 
ndio kipindi walichoingia kutoka ulaya hata mimi nilianza 1992 mpaka leo sijawai kuacha

Inanikumbusha mbali zaidi miaka ya 1983 -85, kuna bwana mmoja alikuwa mitaa ya clock tower karibu na keys hotel, tulikuwa tukienda kununua samaki na alikuwa akitengeneza aquariums pia, alijijengea umaarufu Sana alikuwa na asili ya Kihindi 'kigoa'
 
namkumbuka alishafariki yule bwana
 
siku hizi ukipita kwenye mifereji mikocheni kijitonyama nk unaona gapi wapo tu vp wamekosa soko nn siku hz
 
Back
Top Bottom