Recent content by wisewriter

  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anayechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauaji wa kutumia silaha

    kweli shule mpaka siku unaingia kaburini...nimejifunza kitu hapa asante sana tramadol
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunafanya kila kitu kasoro mapenzi, au hana hisia?

    Samboko umenichekesha hadi machozi eti unapiga master mbele yake kaka wewe noma...
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NENDA KAMPENDE MKEO

    He make akipenda kwao?na ndio Mara nyingi uhalisia na yeye ampende mume??
  4. W

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Aman Jidulamabambasi Nzugilemunzengo -RIP
  5. W

    JamiiForums Tanzania Special thread : Messi Magics

    Hivi mess ashachukua world cup akiwa Argentina? Vipi Gaucho Pele na Maradona?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala tumpe heshima yake uyu kiumbe,(Messi)

    Ni vizuri tukapima mafanikio ya mchezaji ngazi ya club,timu ya taifa na makombe mbalimbali...mess ndiyo mchezaji mzuri saana ila akiwa Barcelona tu...teh teh
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kanitambulisha mume wake mtarajiwa

    Halikuwa fungu lako mtakie kila kheri maisha yaendelee acha kimfikiria,tulia kijana uhamishia hasira zako kutafuta maisha.. Muda utaongea ....time is a healer
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ukipendwa pendeka

    Labda umezidisha mizinga na invoices nyingi kiasi kwamba anakukwepa hadi apate hiyo pesa ...maana kwa uchunguzi wa nataka wanawake wengi wanaongoza kuwa tegemezi hili linawaharibia sana....mwanaume kabla hujaongea unajua kile unachotaka kumuambia...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Hebu tupe mrejesho maana haya mawazo yalikuwa ya mwaka 2010 sasa ni 2017 je kuna mafanikio ili na sisi tujiunge na wewe
  10. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aunda kamati ya pili kuchunguza madini yaliyopo kwenye mchanga, kuapishwa kesho

    Big up JPM tuko pamoja kwa ajili ya Tanzania
  11. W

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

    Nimefurahi sana kuona kumbe unachofikiria kuna wengine wanakitekeleza, Kuna siku nitakuja kuandika wazo hili kwa kirefu.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kuhusu bei halisi ya matrekta

    Kuna elimu unatakiwa uwe nayo unapotaka kununua trekta vitu kama unataka kulima binafsi au kibiashara.aina ya udongo unaloenda Lima ,ukijua haya utajua uchukue yrekta sina gani,lenye uwezo wa kulima hekta ngapi kwa siku,aina ya jembe,na vitendea kazi vingine,tela,kama ni udongo wa kunasa basi...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

    Kasome tena biblia yako ni miaka 400 sio 40/
  14. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

    Kuumbe doo haya miss natafuta asante kwa kuhakiki tulichokuwa tunahisi hisi
  15. W

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wadau wa Kandanda

    Pamoja na mengine pia ni njia ya kupoteza muda hasa kwa timu inayoongoza kwa magoli,ni sawa na kuingiza mchezaji katika dakikaza majeruhi yote nia ni ile ile kulinda ushindi
Back
Top Bottom