Daah haya mambo bhana, nilishakutana na bint dizain hiyo. Hambilik wala hashaurik na hapendiki. Nikaamua KUMWACHA AENDE, nilivyomuacha akapata mtu na walikuwa too close. Mungu hamtupi mja wake akanipa kimwana from tanga mapenz yalikozaliwa wallah nilijihis nimezaliwa upya yaan ni full malovee, now ni mke wangu halali wa ndoa. Yule Pasua kichwa anarud analia, anasema jamaa ake alikuwa shetan kwan alikuwa anampiga halafu kamfumania mara kibao. Kampa mimba kamtelekeza. Goes around comes around, mwache aende utapata mfalme wa roho na papuchi yako!