Kama S. RamosMkuu unachosema ni ukweli kabisaaa Mimi ni mmoja wapo mtu niliyekuwa namwona jamaa anatisha ila ila hamzidi CR7....Ila baada ya Mechi ya Jana usiku nilimwangalia huyu messi kwa umakini sana na binafsi nimenyoosha mikono! Huyu jamaa balaaa jamani...Ronaldo namkubali ila shidaa yake akishapigwa pini anabaki kulalama tu.....ila mess lazima akupunguze tu na ujue unakadi yako inakusubiri! Shikamoo Mess
kwani kuna watu walimnyanganya hiyo heshima kabla ?
Ni vizuri tukapima mafanikio ya mchezaji ngazi ya club,timu ya taifa na makombe mbalimbali...mess ndiyo mchezaji mzuri saana ila akiwa Barcelona tu...teh teh
Ata ngazi ya taifa ni muhimu sana kumbuka kuanzia apewe adhabu argentina inachezea tu....kumbuka pia ata mechi ya mwisho yeye ndo aliscore dhidi ya maasimu chile...Ni vizuri tukapima mafanikio ya mchezaji ngazi ya club,timu ya taifa na makombe mbalimbali...mess ndiyo mchezaji mzuri saana ila akiwa Barcelona tu...teh teh
SafiiiHivi hata World Cup Final kati ya Messi na Cr7 nani kafika mara kibao na nani hajafika kabisaa?
make kufika tu ni ishara tosha ya ubora wako.
Juventus tuu ndio walio muweza
Mchezaji mmoja hawezi akabeba timu, mfano Wa wanafunzi drsn, mwanafunzi Wa kwanza ana division one ya point 7, halafu anayemfuatia ana four ya 30 wengine waliobaki wanafunzi arobaini wana sifuri wote,Hivi hata World Cup Final kati ya Messi na Cr7 nani kafika mara kibao na nani hajafika kabisaa?
make kufika tu ni ishara tosha ya ubora wako.