Recent content by wise123

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu kimoja nakiona BBC kuhusu Zimbabwe kinashangaza sana

    Idiots mnayaona ya Zimbabwe ila ya kwenu TBC inarusha hadi harusi za watoto wa vigogo live ila bungelive hawana hela
  2. W

    JamiiForums Tanzania Babu Tale asema anajiandaa kisaikolojia kufungwa jela maana hana millioni 250 za kumlipa Sheikh Hashim Mbonde

    Mdaiwa hafungwi atamlipa buku buku mpka siku atamaliza deni
  3. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta majoho ya watoto ya graduation kwaajili ya kukodi

    Yamepigwa marufuku over katafute kanzu na madera uwavalishe
  4. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta majoho ya watoto ya graduation kwaajili ya kukodi

    Na ww umeandika nini sasa
  5. W

    JamiiForums Tanzania Sleeper Agent: Mbinu ya kupandikiza jasusi mahali atakayetumika siku za baadaye

    Na cc wakwetu watakuwa wamepenyezwa chadema na cuf lol what a perfect country
  6. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga marufuku kufanya biashara kwa kutumia fedha za kigeni

    Tatizo mag na wenzake wanajifanya wanajua kila kitu hata akipewa wazo zuri na upinzani anaignore Mara ngapi wameshauriwa kuusu matumiz ya dollar kwenye biashara za ndan ya nchi?
  7. W

    JamiiForums Tanzania Gugai na wenzake watatu wapandishwa mahakamani Kisutu, wasomewa mashtaka 43

    Yeye c wakwanza na chakushangaza maboss wa hawa watu ni wasafi
  8. W

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda, mpenzi aliyenifanyia visa amerudi na mimi nimepata mwingine nampenda

    Kwaiyo unataka kumrudisha shetani kwenye ufalme wako mpya? Dhambi mlizofanya za kuua/mimba bado mnataka kuziendeleza embu acha ujinga umtupilie mbali na mawasiliano nae futa
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mugabe Agomea Mazungumzo Ya Kuachia Madaraka

    Wanambembeleza nini uyu babu wamtafutie sehem tulivyo apumzike
  10. W

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Ivi hawaoni hata aibu walivyokanusha habari ya lissu na kutaka kumuua na sasa wameumbuka
  11. W

    JamiiForums Tanzania Tabia za kumdanganya mh Rais zitakoma lini!?

    Washamjua anapenda kiki na kiki zinapatikana kwa kudanganya acha adanganywe aendelee kuropok
  12. W

    JamiiForums Tanzania FIESTA ya leo imenifanya nianze upya safari ya mahusiano yangu, msichana kaniumiza tenaa...

    wanaume wabahili mtabaki kuwa single kila siku
  13. W

    JamiiForums Tanzania Video: Hawa majambazi wanaujasiri wa hali ya juu

    wangenifurahisha zaidi wangebeba huo mfuko uzembe wa hali ya juu
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu, utafanyaje pale uume wako utakaposimama ghafla tena ukiwa mbele za watu

    hausimami bila sababu akili mziweka kwenye ngon
Back
Top Bottom