Kifupi HATUNA AKILI!Watu weusi tuna shidaa sana
Haaaah. Haaah. Haaaah. Power of Pappuchi!Mke wake hakuwahi kuwa makamu wa rais, hawezi mwachia madaraka, huyu mama alikuwa anaongoza kwa nguvu ya papuchi na papuchi haimo kwenye katiba
Mrembo, edit kidogo basiRumours has it wakati wa kupigana uhuru mwanzo ni kwa miaka ya 60 Tobert Mugabe na Kamuzu Banda waliwekwa ndani na wazungu na walipata matendo mengi sana. Wawili hao waliapa wakipata madarakani watakuwa maraid wa maisha.
I have just done that mkuu, asanteMrembo, edit kidogo basi
Yes. Sahihi kaka. Na watu wajue kuwa askari wa jeshi zima la ZIM ni wanachama wa ZANU PF!Hapo hakuna mapinduzi ya kijeshi kwa ajili ya manufaa ya wananchi bali kuna mgogoro kati ya maveterani kwa kuwa mwenzako amekaa muda mrefu bila kuwaachia wenzake.........
KAKA gollocko taratiiiibuMke wake hakuwahi kuwa makamu wa rais, hawezi mwachia madaraka, huyu mama alikuwa anaongoza kwa nguvu ya papuchi na papuchi haimo kwenye katiba
Yes. Sahihi kaka. Na watu wajue kuwa askari wa jeshi zima la ZIM ni wanachama wa ZANU PF!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mkuu lakini unamkubali mpaka ukamweka avatar.Mugabe kabakiza nguvu ya kukatia gogo tu. Mzee akapumzike sasa
Atimuliwe tu.
Wa Zimbabwe walimchagua Robert lakini wanaongoza na Grace. Haikubaliki!
ateue tuAmekubali kuachia madaraka ila kuna mgogoro wa kikatiba maana anatakiwa amwachie madaraka makamu wa rais, 1. makam wa kwanza mke wake Grace ametoroka na Emmerson alishamfukuza ,hivyo hakuna makamu wa rais wa kupokea madaraka!
Is not that simpleHivi kwa nini wasilipige risasi hili kunguni!?