kinundu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 2,028
- 2,169
Mzalendo wetu apongezweeeMakofi kwa mzalendo tafadhali![emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mzalendo wetu apongezweeeMakofi kwa mzalendo tafadhali![emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Waje kina nani?Ngoja waje
Ziko TANESCO!Hivi wakuu, kama pale ndipo makao makuu ya TANESCO, natambua pia kuwa zoezi la kubomoa halitaharibu miundombinu/mitambo.. ila vipi kuhusu clients database yani wateja wa umeme wanaonunua kupitia LUKU hawata athirika ,Kama jibu 'NO' Hizo computer kuu zinazochakata zoezi zima ziko wapi?
Sasa mkuu zoez si litakwamisha huduma muhimu hii?Ziko TANESCO!
Sidhani kama rais kakurupuka anaelewa nini anafanya, si kila kitu kulaumu, nyumba ngapi zimebomolewa kwa nini Tanesco iwe ni ya kujadiliwa sana. Je haipo kwenye Barabara ya akiba? Kama ni hivyo kwa nini watu wajitoe fahamu kwa kulaumu?
Data ziko kwenye server ila kompyuter ziko TANESCO.Sasa mkuu zoez si litakwamisha huduma muhimu hii?
Nadhani mpumbavu ni wewe ambaye hasira zako unazimwaga popote pale aliyekwambia nimehusika kwa kadhia iliyompata Lisu nani? Kama umeamua kumtukana mtu mtukane tu sio utukane kupitia mimi, halafu uwe na adabu si wote wapumbavu kama wewe, kwanza sikuku quote wewe pili hata huyo niliyem quote sikumtukana iweje ukurupuke na kunitukana? Au ndio wewe ulihusika? Ahlulbadri bado inazunguka mtajitaja tu nyumbu wewe, kumbuka Lisu ni binadam sidhani kama mwenye akili timamu atafurahia yaliyomkutaHii sasa ndio inaficha upumbavu wenu wa siku hizi, mlimpiga shaba lissu ili kuuwa soo mkaenda kumpiga na bregidia ili iwe ngoma iwe draw na wananchi waone sawa tu! Sasa mmebomolea watu mnataka kufuta kwa kubomoa la Tanesco!
Hakuna anayewalaumu watu wanasema kuweka record sawa nyie fanyeni tu mnavyotaka wakati wenu huu, nyie si vichwa maji na hamsikii la mtu lakini kulikuwa na mafedhuli kuliko nyinyi na muda uliwapa hukumu stahili, na nyie muda utawanyoosha tu.
Nadhani mpumbavu ni wewe ambaye hasira zako unazimwaga popote pale aliyekwambia nimehusika kwa kadhia iliyompata Lisu nani? Kama umeamua kumtukana mtu mtukane tu sio utukane kupitia mimi, halafu uwe na adabu si wote wapumbavu kama wewe, kwanza sikuku quote wewe pili hata huyo niliyem quote sikumtukana iweje ukurupuke na kunitukana? Au ndio wewe ulihusika? Ahlulbadri bado inazunguka mtajitaja tu nyumbu wewe, kumbuka Lisu ni binadam sidhani kama mwenye akili timamu atafurahia yaliyomkuta
Mkuu sikupendezwa na ile ya Lisu sikuona sababu ya yeye kutajwa hapo, Mkuu JF hatuweki kinyongo utawawekea wangapi? Wewe umejikwaa kwangu na Mimi nitamkosea mwingine siku inaisha hakuna chuki ya kuendelea,Kaka pole! nisamehe lakini upumbavu sio tusi humu labda kama ni mgeni, sie unachangia lakini lengo sio kukukwaza labda ukiweka disclaimer kwamba tusichangie kwa mitazamo yetu ndio inakuwa shida sababu wengine tunafikiri tofauti.
U r sound good. Ukipita pale tanesco haohao wa flyover waliandika ktk ukuta wa tanesco hivi 58,1M na kutoa maelekezo mwisho wapi na tanesco wakavunja ukuta wao na kuusogeza kule walipoelekezwa. Sasa ata mimi nashangaa kusikia ujenzi wa flyover unasua sua kisa jengo la tanesco sijui habari hiyo imetoka wapi....sasa mimi nawaambia lile jengo halibomolewi na atakuja waziri fulani kusema hatujamuelewa raisi atasema hiviJana Rais akiwa Ubungo alitoa amri ya kubomoa jengo la Tanesco,naomba nitoe Maelezo kidogo ya jinsi Rais anavyodanganywa.
Jana kipindi Rais anatoka airport alivyofika Tazara na kuona maendeleo ya flyovers pale aliomba pia kupita Ubungo kuona maendeleo ya flyovers za pale.kwakuwa ilikuwa ni ghafla sana kati ya watu waliokuwa kwenye msafara wa Rais waliwatonya wale wachina wa China civil ambao ndio waliopewa tenda ya ujenzi pale kwamba mkuu anapita,
Kwakuwa hawakuwa na sababu za msingi za ucheleweshwaji kazi na kwakuwa ukaguzi ulikuwa ni wa ghafla mno waliamua kuwasikingizia Tanesco wakati kimsingi walishakaa na hao Tanesco na kuamua Barabara zipita pembezoni kwa jengo na mpaka ramani ya jinsi barabara zitakavyopita maeneo Yale ya jengo.
Cha kushangaza Jana Rais kadanganywa na kwa bahati mbaya na yeye kwa kukutokujua aliingia king.
Napenda nimkumbushe Rais lile jengo halina haja ya kubomolewa kwani halina athari yoyote katika ujenzi wa flyover za Ubungo.
Hyo ndo ukweli atakae penda kuamini ataamini asopenda ama anaetaka mpaka kuona picha nae Ni hali yake,ila u kweli ndo huo..!U r sound good. Ukipita pale tanesco haohao wa flyover waliandika ktk ukuta wa tanesco hivi 58,1M na kutoa maelekezo mwisho wapi na tanesco wakavunja ukuta wao na kuusogeza kule walipoelekezwa. Sasa ata mimi nashangaa kusikia ujenzi wa flyover unasua sua kisa jengo la tanesco sijui habari hiyo imetoka wapi....sasa mimi nawaambia lile jengo halibomolewi na atakuja waziri fulani kusema hatujamuelewa raisi atasema hivi
" hamkumuelewa raisi, raisi alimaanisha kama kutalazimika kubomoa hilo jengo na libomolewe lakini wataalamu wameona hakuna ulazima wa kulibomoa na hivyo halitabomolewa" and this s my country called Tanzania
Unanihoji hivyo kama nani!!?nmeleta habari ikikupendeza waweza kuielewa kama haijakupendeza ikanushe tu,ts a free worldwewe umejuaje kama tanesco na mkandarasi wameshakaa? nani aliyekuonyesha ramani ilete hapa pamoja na siku na muda waliokaa kikao