Recent content by wirlee

  1. W

    JamiiForums Tanzania Nimeshawasilisha barua ya mashtaka dhidi ya Rais Samia kwenye mahakama ya The Hague ICC

    Asante mkuu Richard, nilitaka ila sikua na uwezo nilitamani pia ni attach ujumbe wa pope leo ili kuinyesha icc kwamba this is a serious matter of concern
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ujasusi Kwa mtu binafsi katika shughuli za kila siku

    mkuu hio COLOQAS ndio nini
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu waongoze kudai mabadiliko / mageuzi

    "The core of rebellion are the Universities... The Universities have been to this nation what wooden horses were for Trojans" (Thomas Hobbes on the English Civil War)
  4. W

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu mtafute member aliyopotea

    de'levis
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bwawa la Nyerere(MW 2115) upo nyuma kwa asilimia 44, nguvu zimeelekezwa kwenye gesi (MW 1600)

    navajo naomba kukuuliza maswali machache kabla sijaja na data za consumption za mikoa na wilaya. unafaham kazi maalum za substations? unafaham nyaya za 33kv na 11 kv zinatumika vipi na consumer TX inauwezo wakuudumia biashara na viwanda vidogo na makazi kiasi gani? unafaham kuwa JHNPP itatumika...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kwa hili bora waniue tu. Sio Makamba wala Rais nina imani nao kuhusu mradi wa Rufiji. Tumepigwa

    haha mkuu Kilatha hivi makamba ana authority yakuuza govt bonds to begin with? hii sio kazi ya BOT kweli? why should anyone listen to makamba at the first place?
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ni hesabu gani formula zake zilikupa shida?

    hii ilikua ina-generate quantum mechanics.. a better way to understand the behaviour of electrons in physical electronics. a solid version of classical mechanics
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    cjakuelewa apa boss, i thought this is good news for my country Tanzania
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tanzania rank 2nd in Africa GCI 2020(Global Cybersecurity Index)
  10. W

    JamiiForums Tanzania Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

    kuna gari inaitwa Genesis Concept X, ni moja ya gari nnazo zikubali as future cars with pure carbon body na dyanamics zote unazozijua wewe
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    eastafrican eastafrican newspaper on a witch-hunt mission against tz, I don't use such media for reference. i put it in my bad books
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    hawana platform hao😂 wwambie wakutajie?? kazi kushinda kwa platform za watu. displaced monkeys
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    ☹️ this is just unbearable, man eat man society.
  14. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    😂tumeongea na ubalozi katika kikao cha hivi karibuni na kuafiki ulinzi dhabiti pamoja na gari laserekali kwa kaka Shebby01 kwa kipindi chote atakachokuepo Nairobi
  15. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    🤣 wakunya bhana, mpaka huruma. hawana forum yao kutwa jamii forum lasivyo twitter(#KOT) na kizungu kiingi dunia inawachora tuu walivyo wazamiaji kila mahala mpka kwenye forum za nchi za watu. If you are a Kenyan think twice😂😂
Back
Top Bottom