Ni hesabu gani formula zake zilikupa shida?

Ni hesabu gani formula zake zilikupa shida?

I love numbers... How can I be mathematical wizard?
Cc Mokaze

Even I love richness and be like Billy Gates, how can I be??!!----some talents are God given and some are thriven through hard working assisted by ambition to it, try hard if you have the talent then it will spring out and become a Wizard, no man has ever finished all maths fields, Maths is too vast field to finish.
 
Aseee hii ndio yenyewe kaka. Ni mwendo wa mambo ya psi tu,asee kwenye Kemia wakaigusa kidogo advance sema ndo hivo hawakuipa mkazo. Ila nakubali sana hiyo hesabu .View attachment 2018224

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Hesabu ikishakuwa hivyo nipo tayari kujinyonga tu maana sielewi na wala sitakaa nielewe!

Hesabu ina vimuunganiko vya kanuni nyingi ndio maana wengi zinatushindaga. Yani utakuta lazma uzingatie bodmas wakati unafanya hesabu hio hio lakini kuna mambo ya base 10 sijui mara tena lazma uzingatie gradient formula sijui eeh! Hapo ndio mambo ya 2/100
 
Hesabu ni zile basic operations tu +,-,/,x na ndio zinatumika kwa 90% ya maisha ya kawaida. Nyingine ni rounding off au approximations tu ndio zaidi na zile hesabu za unit of measurements! Km, Metres,Kilogram, Feet, Inches n.k

Nje ya hapo ni kuumizana vichwa tu!
 
Even I love richness and be like Billy Gates, how can I be??!!----some talents are God given and some are thriven through hard working assisted by ambition to it, try hard if you have the talent then it will spring out and become a Wizard, no man has ever finished all maths fields, Maths is too vast field to finish.

Be blessed man, I know just a bit of it..but wishing to go beyond what i know!
I'm not that good in math but I believe i can be good ,when i will choose to work hard on it...
 
Hapo kwenye x substitute 8e^-2 -4, ni hicho tu ndicho nilichosahau kuweka ili kupata jibu sahihi., lakini hilo ni jibu unsimplified.

Shida watu tumecrame d/dx e^x=e^X bila kujua imekujaje.

X=8e^-2t-4
(X+4)=8e^-2t rearranging

Taking Ln on both sides

Ln(x+4)=Ln8e^-2t=Ln8-2t Lne

d/dt[(X+4)=Ln8e-2t Lne]

1/(x+4)dx=0-2dt
dx/dt= -2(x+4)

Now substitute x=8e^-2t-4 into -2(x+4) for dx/dt., this becomes

dx/dt=-2(8e^-2t-4+4)= -16e^-2t.

Hiyo ndiyo first principle ambayo mtu anatakiwa aijue kabla ya kujua d/dx Ne^ax=Nae^ax.
Hicho hicho ulichosahau ndio kosa lenyewe sasa!
Hesabu haihitaji blah blah za kusahau, inahitaji straight na majibu sahihi!
 
Then first principle umeapply wapi hapo?
First principle inahusisha uwepo wa limit...
pengine nazeeka mie!!
 
Then first principle umeapply wapi hapo?
First principle inahusisha uwepo wa limit...
pengine nazeeka mie!!

Sorry!!, the first principle inayo involve natural logarithim kwa part ya (Ne^ax) etc.
 
Hicho hicho ulichosahau ndio kosa lenyewe sasa!
Hesabu haihitaji blah blah za kusahau, inahitaji straight na majibu sahihi!

Hilo jibu langu sio "kOSA" bali ni unsimplified answer.

Ni sawa mtu aseme 2/4 na mwingine aseme 1/2, halafu umpe vema huyo wa 1/2 na huyo wa 2/4 umpe kosa kabisa!!🤣----- kwa mtu anayejua hesabu hawezi kupinga kwamba;

-2(x+4)=-16e^-2t, given that x=8e^-2t-4.
 
Hesabu za maumbo ya ujazo shule ya msingi nilikuwa nakosea hadi corrections. Yaani nakosea, ticha ananirekebisha, narudia kuyafanya naenda tena kukosea zote
giphy (9).gif
 
Aseee hii ndio yenyewe kaka. Ni mwendo wa mambo ya psi tu,asee kwenye Kemia wakaigusa kidogo advance sema ndo hivo hawakuipa mkazo. Ila nakubali sana hiyo hesabu .View attachment 2018224

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
hii ilikua ina-generate quantum mechanics.. a better way to understand the behaviour of electrons in physical electronics. a solid version of classical mechanics
 
Sorry!!, the first principle inayo involve natural logarithim kwa part ya (Ne^ax) etc.

Hivi hiyo first principle unayosema unaielewa vyema kweli?
Unataka kumaanisha kuwa ipo specific first principle inayo involve natural logarithm pekee?
Then sijaona popote ulipo recall hata hiyo first principle kwa hiyo part ya Ne^ax
 
Shida watu tumecrame d/dx e^x=e^X bila kujua imekujaje.

OK. Let me try...
Prove dy/dx of e^x = e^x
y=e^x

Let,
y=e^u and u=x

dy/du=e^u and du/dx=1

by using chain rule
dy/dx=dy/du x du/dx

dy/dx=eu^×(1)=e^u

Subst, back u=x

dy/dx=e^x
 
Hivi hiyo first principle unayosema unaielewa vyema kweli?
Unataka kumaanisha kuwa ipo specific first principle inayo involve natural logarithm pekee?
Then sijaona popote ulipo recall hata hiyo first principle kwa hiyo part ya Ne^ax

eg, let y=Ne^ax, now find dy/dx.

y=Ne^ax , taking Natural log to both side of the equation (I'm taking natural log because "e" is sorely the base of the Log ).

Lny=LnNe^ax
Lny=axLne, Lne=Log of e to base e which equals 1.

Therefore Lny=ax

Differentiating you get, 1/y dy=adx

dy/dx=ay, substitute y=Ne^ax for y into dy/dx,

dy/dx=aNe^ax.

Huo ndio msingi (principal) wa d/dx(Ne^ax) na nduguze wote wenye e^n.
 
Back
Top Bottom