Recent content by willtarimo

  1. willtarimo

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa mliojipanga kununua hisa za makampuni ya simu...

    Bado sijaona huo U_expert wako. Unajitamba na degree ya biashara. Kila mtu akianza kusema elimu yake hapa na uzoefu alionao tutafika kweli. Kwa uzoefu wangu wa miaka 5 wa kununua hisa na kuuza hata kufatilia kila leo soko la hisa, hapo umeipotosha jamii. Kuwa makini na fatilia kwa makini soko la...
  2. willtarimo

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa mliojipanga kununua hisa za makampuni ya simu...

    Asante kwa kuutoa ukweli.
  3. willtarimo

    JamiiForums Tanzania IshiNdotoYako Program

    Ni wakati wako wa kuamua kujifunza kila siku ili kuweza kufikia ndoto yako uliyonayo. Ndoto yako inawezekana amua kujifunza kila siku kwa kutembelea www.ishindotoyako.com kwa njia ya makala za kila siku, video, quote. Believe. Follow. Live Your Dream
  4. willtarimo

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza kupata nafasi UDSM?

    Hakuna cha education WA llb zote ajira kwa sasa shida
  5. willtarimo

    JamiiForums Tanzania Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

    Pumbavu kabisa
  6. willtarimo

    JamiiForums Tanzania Tabia 20 za watu zinazowazuia katika mafanikio makubwa

    Usipite bila kusoma mahali hapa kama unahitaji Kubadilika na Kwenda hatua nyingine ya Kufikia katika Kilele chako cha Mafanikio makubwa; iwe Mafanikio ya Kiuchumi au kifedha, Kiafya, Kiakili na zaidi sana Kiroho pia. Huu ni ujumbe unaoonyesha tabia ishirini zinazowazuia watu kufikia katika...
  7. willtarimo

    JamiiForums Tanzania Jijengee Uwezo wa Kuwa na Nidhamu Binafsi Katika Maeneo Haya Yafuatayo

    Neno Nidhamu lina maana kubwa sana katika safari yoyote ile ya mtu ya kukimbilia katika maisha ya mafanikio makubwa anayoyataka hapa duniani. Kama unahitaji kuwa bora na mwenye mafanikio mazuri katika kazi, biashara, masomo, ubunifu, vipaji na karama ulizonazo, nakadhalika; basi ujue itakubidi...
  8. willtarimo

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

    Je, Unahitaji Kujifunza Mambo mengi Kuhusu Biashara na Ujasiriamali; na Namna ya Kukuza Masoko? Tembelea Mtandao huu: www.cicbat.com
  9. willtarimo

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye hii Tab ya Samsung

    Subiri kwanza huwa inatumia muda mrefu sana
  10. willtarimo

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Nahitaji kujua juu ya Matumizi ya PayPal Account!!! Hasa katika Kuweka au tuseme Ku-Add hela Kwenye akaunti yangu ya PayPal.
  11. willtarimo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utani umenikosesha mpenzi

    Utoto tu
  12. willtarimo

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge - 09, Julai 2015

    Ngoja tusubiri hatua zinazofuata
  13. willtarimo

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Asante kaka kwa ushirikiano wako. Nimekupata sasa.
  14. willtarimo

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Nimejifunza jambo zuri sana hapa, ambalo kwa kweli nilikuwa ni kipofu katika hili. Je, MasterCard na Visa card ipi ni bora katika manunuzi ya mtandaoni?
  15. willtarimo

    JamiiForums Tanzania App ya Google Camera Kwenye PlayStore

    Asante
Back
Top Bottom