Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,351
Habar wanajamii! Kama heading inavyojieleza hapo juu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 majuzi hapa nilikuwa na chat na mpenzi wang WhatsApp ila katka maongezi yetu akaleta utani ambao Mimi sikuwa naelewa kama ni utani tu kwa sababu hakusema mwishoni kama alikuwa ananitania, basi bhana na Mimi nikaanza kumwambia kuwa univutii, kwanza huna shepu tukisema tukuvue nguo shepu yako ni ya kiazi, bac bhana mi nikalala sasa asubuhi namcheki naona kimyaa ikanibidi nimpigie, alichonijibu ni hatari ndo maana nipo hapa! Je nilifanya makosa kumtania vile au alikuwa ananitafutia kisa tuu? Na nifanyeje ili nirudiane nae? Ushauri wenu please
Wakati mwingine ukwel unauma sasa kwa hayo maneno hata Mimi ungepata kibuti maridadi sanaa