Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

Habari zenu wana Jf,mimi nauza eneo lakiwanja lipo mbezi (goba)tayari limeshajengwa vyumba viwili.kwa mawasiliano na mimi piga 0785-458405
 
Wakuu naombeni msaada juu ya kuandika michanganuo ya biashara (business plan) kwa yeyote anaefahamu anidadavulie
 
Business plan common Ina vipengele muhimu kama saba(7).
1.Business company description, kipengele hiki utaelezea taarifa fupi kuhusu kampuni, vision, mission objectives na core values
2.Product description, utaelezea bidhaa au huduma unazotoa specific, business position and price strategic
3.Production plan, hapa utaelezea mtitrirko mzima wa uzalishaji bidhaa au huduma
4.Market and competition. Hapa Utawaeleze wateja wako ni Akina Nani, ukubwa wa soko na mwelekeo, washindani wako ni Akina Nani
5.Marketing and sell strategy, hapa utafanya kitu kinaitwa SWOT analysis au kwa kiswahili ni Nguvu, Madhaifu, vikwazo na Nafasi, market strategy, method of sales na advertising and promotion
6.Management and organization, hapa utaonyesha structure nzima ya kampuni yako, na majukumu ya kila mfanyakazi.
7.Financial plan, hapa utaelezea financial requirements ktk mradi wako, financial risk, assumptions cash flow, income statements na balance sheet

Mwisho kabisa utadokoa kila kategory hapo juu kutengeneza one page ya EXCUTIVE SUMMARY ambayo huwa inakuwa first page
hapo juu nimedokoa vitu vichache vya muhimu, cha msingi uweze kutafuta Mtaalamu akupe support pale utakapohitaji au Google kupata more info kila category
 
Chukua Samples hizo ukakomae mwenyewe.
Ukishindwa nitafute PM
 
Attachments

  • Cigar World.pdf
    609.3 KB · Views: 159
  • FurnitureManufacturer.pdf
    429.3 KB · Views: 129
  • GentleTouchCreations.pdf
    317.3 KB · Views: 712
  • Granite.pdf
    364.1 KB · Views: 482
Business plan common Ina vipengele muhimu Sita 6.
1.Business company description, kipengele hiki utaelezea taarifa fupi kuhusu kampuni, vision, mission objectives na core values
2.Product description, utaelezea bidhaa au huduma unazotoa specific, business position and price strategic
3.Production plan, hapa utaelezea mtitrirko mzima wa uzalishaji bidhaa au huduma
4.Market and competition. Hapa Utawaeleze wateja wako ni Akina Nani, ukubwa wa soko na mwelekeo, washindani wako ni Akina Nani
5.Marketing and sell strategy, hapa utafanya kitu kinaitwa SWOT analysis au kwa kiswahili ni Nguvu, Madhaifu, vikwazo na Nafasi, market strategy, method of sales na advertising and promotion
6.Management and organization, hapa utaonyesha structure nzima ya kampuni yako, na majukumu ya kila mfanyakazi.

Mwisho kabisa utadokoa kila kategory hapo juu kutengeneza one page ya EXCUTIVE SUMMARY ambayo huwa inakuwa first page
hapo juu nimedokoa vitu vichache vya muhimu, cha msingi uweze kutafuta Mtaalamu akupe support pale utakapohitaji au Google kupata more info kila category
Asent asee mkuu umenisaidia kwa kweli..
 
Sapoti nzuri hiyo kijana , changamka kaa mezani, umepewa desa hizo...kisha jaribu kuandika moja ushare na wataalamu kujua actualness yake. Kumbuka pia kuwa original ktk uandishi wake, usije copy tu...pia hakikisha unakusanua data za kutosha ktk biashara husika kulingana na kila kipengele cha hiyo Bplan. mf ktk kipengele cha competitors ...wajue vizuri kwa idadi, ukomo, coverage yao, bidhaa zao, ufanisi, ulegevu wao n.k
Ndivyo tufanyavyo....kila LA heri!
 
Business plan common Ina vipengele muhimu kama saba(7).
1.Business company description, kipengele hiki utaelezea taarifa fupi kuhusu kampuni, vision, mission objectives na core values
2.Product description, utaelezea bidhaa au huduma unazotoa specific, business position and price strategic
3.Production plan, hapa utaelezea mtitrirko mzima wa uzalishaji bidhaa au huduma
4.Market and competition. Hapa Utawaeleze wateja wako ni Akina Nani, ukubwa wa soko na mwelekeo, washindani wako ni Akina Nani
5.Marketing and sell strategy, hapa utafanya kitu kinaitwa SWOT analysis au kwa kiswahili ni Nguvu, Madhaifu, vikwazo na Nafasi, market strategy, method of sales na advertising and promotion
6.Management and organization, hapa utaonyesha structure nzima ya kampuni yako, na majukumu ya kila mfanyakazi.
7.Financial plan, hapa utaelezea financial requirements ktk mradi wako, financial risk, assumptions cash flow, income statements na balance sheet

Mwisho kabisa utadokoa kila kategory hapo juu kutengeneza one page ya EXCUTIVE SUMMARY ambayo huwa inakuwa first page
hapo juu nimedokoa vitu vichache vya muhimu, cha msingi uweze kutafuta Mtaalamu akupe support pale utakapohitaji au Google kupata more info kila category

Umetisha sana
 
Mi nafikiri ni kazi nzuri sana, ninao rafiki iliyowatoa na wengine wameanguka biashara hiyo hiyo
Cha msingi
1. Muwe wavumilivu, msiangalie walioko juu mkadhani nanyi mtafika Mara moja kwa wepesi
2. Mchape kazi sana
 
Mungu atatusaidia tukiweka bidii zetu, tukikata tamaa ndio kuangamia kwetu
 
Back
Top Bottom