Recent content by Wild Thoughts

  1. Wild Thoughts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiona dalili hizi acha kufanya mapenzi.

    Wanaoombaga picha wametulia
  2. Wild Thoughts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kumuomba mwanamke mtoke out

    Huko ni kujichelewesha kukubaliwa au kukataliwa
  3. Wild Thoughts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kumuomba mwanamke mtoke out

    Iyo wiki nzima anakuwa anasubili nini?
  4. Wild Thoughts

    JamiiForums Tanzania Nasalimiwa na watu wakubwa kulikoni?

    Utakuwa una sura kama mizengo pinda
  5. Wild Thoughts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kumwelewa kwakweli

    Miezi saba hujapiga!! What a fuk Hivi mwanamke ambaye ni dem wangu inaishaje wiki sijamtafuna...atanambia nini? Mi naona shida sio yeye, Shida ni wewe mleta mada.
  6. Wild Thoughts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili jibu hakulistahili huyu mdada au nilikosea wapi...?

    Mimi natongoza wale waliokushinda wewe
  7. Wild Thoughts

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Young po kacheza zingine zipi tofauti na Jumong?
  8. Wild Thoughts

    JamiiForums Tanzania Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

    Unamuuliza nini huyo mpuuzi tu alisababisha nika download iyo Jack Ryan series ya kisenge tu nimemaliza MB's Mi napenda series ihusishe secret services na magaidi wa middle east, nilivoona huyo boya kaiweka namba tatu nikaangalia trailer yake iko vizuri nikadownload mashudu.
  9. Wild Thoughts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: Moyo wangu umetekwa na mwanafunzi

    Mkuu fanya tu unachotaka kufanya ya nini uteseke wakati umekapenda hako kabinti, mimi sutakulaumu kwa lolote maana najua shetani na yeye ana nguvu.
  10. Wild Thoughts

    JamiiForums Tanzania Ule utapeli wa kijuha umeanza tena...

    Mimi niliwahi kuwatapeli hao jamaa 5000Tsh maana nilikuwa sina MB's. Hawakujua sina hata mia, Wakanipigia simu kunipa deal hilo nawachora tu mwisho wakanipa namba za mtu mwingine nimtumie hela 150000/- nikakubali ila ndo nikamwambia nina 146000 tu ngoja nitafute iyo 5000 ndo nitume kumbe mi...
  11. Wild Thoughts

    JamiiForums Tanzania Nauza laboratory reagents pamoja na laboratory equipments kwa shule za sekondari, vyuo vikuu, taasisi za afya nk

    Mi nina Silver nitrate 25g haijafunguliwa. nataka nikuuzie nusu ya bei yake halafu wewe utaiuza. ila akijitokeza mteja mwingine ntaiuzia hapa hapa kwenye huu uzi wako.
  12. Wild Thoughts

    JamiiForums Tanzania Tuwataje "100 Greatest Tanzanian of all time"

    Sanchoka aingie kwenye hiyo list tafadhari, Nawasilisha.
  13. Wild Thoughts

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlowahi kudate au kuoa wasichana wa kihindi njooni hapa

    Movie itakuwa ya zamani
  14. Wild Thoughts

    JamiiForums Tanzania Tetema remix Rayvanny Ft Pitbull,Mohombi,Jeon & Diamond Platnumz

    Umetisha 😂😂😂DJ Khaled anajua
  15. Wild Thoughts

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee: Jux hawezi kitu kitandani

    Wanawake akili yao wanaijua wao. Unaweza ukaamua kutafuna papuchi kazikazi hapo ataenda kulalamika kwa wenzie "mwanaume gani yule hatosheki anataka kila siki halafu anapiga mapigo yaleyale utadhani kilasiku mechi ni fainali" Ukiwa unapiga kishkaji unamuacha asichoke sana maana papara za nini...
Back
Top Bottom