UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Habari wana gt.
Nikipita mtaani kazini au sehemu yoyote najikuta napokea salamu Kwa wadogo na baadhi ya watu wazima walionizidi umri wananiamkia.
Cha ajabu sina cheo sina pesa za kutisha wala cheo cha hadhi yoyote.Mpaka najistukia kusalimiwa na wakubwa.Hii ina maana gani wadau.[emoji41]