USHAURI: Moyo wangu umetekwa na mwanafunzi

UMEEGEMEA MLANGO WA SEGEREA MKUU

ACHA KUMUWAZA MWANAFUNZI HUYO
 
Kama kichwa cha habari kinavyo sema,nimetokea kumpenda binti mmoja ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili.

Binti huyo tulianza kuonana pale alipokuja anauza vitumbua kwenye kijiwe ninacho fanyia kazi miaka miwili iliyopita,basi kuanzia kipindi hicho nikawa mteja wake wa vitumbua.

Nimekuwa nikimchukulia kama mdogo wangu na ananiheshimu kweli kama kaka yake,lakini Siku za hivi karibuni nimejishangaa naanza kumpenda huyo binti,kingine pamoja na ujuwaji wangu wote lakini Siku hizi tukikutana huwa ninakosa ujasiri.

Kiukweli Mimi huyo binti sishindwi kumpata lakini nina sita sana kwa sababu kati ya kitu ambacho sikipendi ni kuwa ana uhusano na mwanafunzi.

Sio kwamba ninaogopa jera pekee hapana,lakini na mimi nina wadogo wangu wa kike nao wana soma kama huyo binti.

Kuna msemo mmoja unasema usimtendee wenzio jambo ambalo we we hutaki utendewe,na ni kweli Mimi nimekuwa nikiwasihi wadogo zangu kuepukana na hayo mambo wakiwa bado ni wanafunzi.

Lakini kila nikijitahidi kujitoa kwenye huu mtego ninashidwa,huwezi amini eti kuna kipindi huwa ninakosa usingizi kwa sababu ya huyo binti.

Ninaamini jf kuna watu mbalimbali wenye uwezo wa kunishauri ili niondokane na huu mtego wa mapenzi.
Asante kwa utambuzi juu ya umuhimu wa kupata elimu kwa watoto wa kike, kwakuwa unahitaji kuondokana na tatizo hilo mm ninaonelea jiweke mbali kidogo na huyo binti. Kama ulikuwa ulikuwa unataniana nae napo acha na pia uwenda asikuelewe lakin jitahidi Sana uweke mipaka kati yenu. Mapenz uchochewa na mawasiliano ya karibu kwa watu, so try to avoid her. Lakin pia muone km mdogo wako kikweli kweli. Kwa upande wangu, nakupongeza Sana tena Sana kwa ujasiri uliouonesha juu ya hili maana uwashinda wengi. Kwakweli ww ni mfano kwenye jamii, pia wazo la kuwahimiza wadogo wako wa kike kusoma Kwanza nalo ni zuri of course you are a good model.Be blessed.
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Mtu anampenda,mtu anauza vitumbua
Kwani muuza vitumbua h
Asante kwa utambuzi juu ya umuhimu wa kupata elimu kwa watoto wa kike, kwakuwa unahitaji kuondokana na tatizo hilo mm ninaonelea jiweke mbali kidogo na huyo binti. Kama ulikuwa ulikuwa unataniana nae napo acha na pia uwenda asikuelewe lakin jitahidi Sana uweke mipaka kati yenu. Mapenz uchochewa na mawasiliano ya karibu kwa watu, so try to avoid her. Lakin pia muone km mdogo wako kikweli kweli. Kwa upande wangu, nakupongeza Sana tena Sana kwa ujasiri uliouonesha juu ya hili maana uwashinda wengi. Kwakweli ww ni mfano kwenye jamii, pia wazo la kuwahimiza wadogo wako wa kike kusoma Kwanza nalo ni zuri of course you are a good model.Be blessed.
Asante sana kwa ushauri mzuri nitajitaidi kwa uwezo wangu wote kuzingatia ushauri ulionipa, ushauri wako ni wenye kutia moyo tafauti na wengine wanao kuja na kejeri.unajuwa mtu jambo kama halijamkuta anaona kana kwamba unatania lakini kiukweli huyu msichana ananipa wakati mgumu sana.
 
Mkuu acha naseman acha,tena acha nakusisitiza pita kushoto kama unajipenda ila kama hujipend mfate
 
Kama kichwa cha habari kinavyo sema,nimetokea kumpenda binti mmoja ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili.

Binti huyo tulianza kuonana pale alipokuja anauza vitumbua kwenye kijiwe ninacho fanyia kazi miaka miwili iliyopita,basi kuanzia kipindi hicho nikawa mteja wake wa vitumbua.

Nimekuwa nikimchukulia kama mdogo wangu na ananiheshimu kweli kama kaka yake,lakini Siku za hivi karibuni nimejishangaa naanza kumpenda huyo binti,kingine pamoja na ujuwaji wangu wote lakini Siku hizi tukikutana huwa ninakosa ujasiri.

Kiukweli Mimi huyo binti sishindwi kumpata lakini nina sita sana kwa sababu kati ya kitu ambacho sikipendi ni kuwa ana uhusano na mwanafunzi.

Sio kwamba ninaogopa jera pekee hapana,lakini na mimi nina wadogo wangu wa kike nao wana soma kama huyo binti.

Kuna msemo mmoja unasema usimtendee wenzio jambo ambalo we we hutaki utendewe,na ni kweli Mimi nimekuwa nikiwasihi wadogo zangu kuepukana na hayo mambo wakiwa bado ni wanafunzi.

Lakini kila nikijitahidi kujitoa kwenye huu mtego ninashidwa,huwezi amini eti kuna kipindi huwa ninakosa usingizi kwa sababu ya huyo binti.

Ninaamini jf kuna watu mbalimbali wenye uwezo wa kunishauri ili niondokane na huu mtego wa mapenzi.
Mkuu fanya tu unachotaka kufanya ya nini uteseke wakati umekapenda hako kabinti, mimi sutakulaumu kwa lolote maana najua shetani na yeye ana nguvu.
 
Kama kichwa cha habari kinavyo sema,nimetokea kumpenda binti mmoja ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili.

Binti huyo tulianza kuonana pale alipokuja anauza vitumbua kwenye kijiwe ninacho fanyia kazi miaka miwili iliyopita,basi kuanzia kipindi hicho nikawa mteja wake wa vitumbua.

Nimekuwa nikimchukulia kama mdogo wangu na ananiheshimu kweli kama kaka yake,lakini Siku za hivi karibuni nimejishangaa naanza kumpenda huyo binti,kingine pamoja na ujuwaji wangu wote lakini Siku hizi tukikutana huwa ninakosa ujasiri.

Kiukweli Mimi huyo binti sishindwi kumpata lakini nina sita sana kwa sababu kati ya kitu ambacho sikipendi ni kuwa ana uhusano na mwanafunzi.

Sio kwamba ninaogopa jera pekee hapana,lakini na mimi nina wadogo wangu wa kike nao wana soma kama huyo binti.

Kuna msemo mmoja unasema usimtendee wenzio jambo ambalo we we hutaki utendewe,na ni kweli Mimi nimekuwa nikiwasihi wadogo zangu kuepukana na hayo mambo wakiwa bado ni wanafunzi.

Lakini kila nikijitahidi kujitoa kwenye huu mtego ninashidwa,huwezi amini eti kuna kipindi huwa ninakosa usingizi kwa sababu ya huyo binti.

Ninaamini jf kuna watu mbalimbali wenye uwezo wa kunishauri ili niondokane na huu mtego wa mapenzi.
JELA UNAPAJUA?
 
Mtu mzima hovyo, anza kuwapenda wadogo zako hivyohivyo
 
Mwambie unampenda lkn pia upo tayari kumsubiria amalize masomo yake na kama kweli wewe ni mtu wa kujizuia na una nia nae basi hapo tena suala la ‘sex’ futilia mbali mpaka awe huru na masomo yake

Wangu nilianza kuishi nae anasoma A level na mpaka sasa tuna familia na tupo muongo mmoja na zaidi kubwa ni nyie kupangilia mambo yenu na udhati uwepo sio iwe ni tamaa ya mwili umuharibie bint mustakabari wake
 
Ushauri mzuri.
 
sawa mkuu .naona unaelekea kuwa mgeni ya serikali ya awamu ya tano. fresh tu.
 
...Dah, hizi thread nyingine hizi za kuomba Ushauri!
Unampenda sana binti wa form two lakini hapo pia hupendi kucheza na Watoto wa Shule!![emoji849]
Kwa hiyo hapo tunatakiwa kukushauri nini, Mkuu?[emoji849]
 
Siku hizi ukimpa mimba mwanafunzi jiandae na miaka 30 jela na kosa la uhujumu uchumi
 
Back
Top Bottom