- Thread starter
- #41
Mimi 27 yrs sijajua yeye but nafikiri yeye kwenye 23 au 24 kipato changu ni cha kawaida sanaMwambie mama chomoa betri tujilipue out weekend hii
Mimi 27 yrs sijajua yeye but nafikiri yeye kwenye 23 au 24 kipato changu ni cha kawaida sanaMwambie mama chomoa betri tujilipue out weekend hii
20,000/=Umeandaa kutumia kiasi gani mkuu?
Mwambie tu,unataka umtoe kwa lunch n.k baada ya kufika huko ndio umwambie hisia zako20,000/=
Iyo wiki nzima anakuwa anasubili nini?Mwambie unataka kutoka naye dinner weekend. Akikubali hio siku mfate kwake au kwao na gari hata kama huna chukua Uber.
Mkifika huko mnunulie vinywaji na chakula alafu husimtongoze kwa week nzima mtoe out tena alafu mtongoze sasa. [emoji23][emoji23] Ataamua sasa mwenyewe kama yuko single au already taken [emoji6]
And don't forget to thank me.
Moja kati ya vitu wanaume wengi hukosea ni kuonyesha tamaa(being desparate) hakuna mwanamke anapenda mwanaume ambaye anaonekana ana hamu sana na yeye kuhusu kuhangaika kutafuta gari kama huna sasa hapo inategemea uchumi na class ya mwanamkeMwambie unataka kutoka naye dinner weekend. Akikubali hio siku mfate kwake au kwao na gari hata kama huna chukua Uber.
Mkifika huko mnunulie vinywaji na chakula alafu husimtongoze kwa week nzima mtoe out tena alafu mtongoze sasa. [emoji23][emoji23] Ataamua sasa mwenyewe kama yuko single au already taken [emoji6]
And don't forget to thank me.
Moja kati ya vitu wanaume wengi hukosea ni kuonyesha tamaa(being desparate) hakuna mwanamke anapenda mwanaume ambaye anaonekana ana hamu sana na yeye kuhusu kuhangaika kutafuta gari kama huna sasa hapo inategemea uchumi na class ya mwanamke
Anapiga naye story za kawaidaIyo wiki nzima anakuwa anasubili nini?
Huko ni kujichelewesha kukubaliwa au kukataliwaAnapiga naye story za kawaida
Ushauri aliotoa huyo miss ni wa kufilisiana.Dogo ukifuata huu ushauri umeumia!
Amini nakwambia ukifuata tu alichokiandika huyu miss_blossom lazima uje na bandiko lingine safari hii litakuwa ni la kilio.
Cubic Boy vp ulifanikiwa zoez lako au uliahiri Hapana mkuu sikufanikiwa alinikatalia mwaliko