Tetema remix Rayvanny Ft Pitbull,Mohombi,Jeon & Diamond Platnumz

Unamshirikisha tu pale mwimbo unapoanza anatamba kidogo
"Yo"
"Another one,tetema"
"We the best music wasafi baby"
"It's diamond Platnumz motherfucker..yo"
"Listen to this,tetema.."
"Dddddddj khaleeeeeeed the best ever...

Basi tu inatosha yule mnyamwezi hanaga mambo mengi..sasa nyie na hao akina mohombi,sijui msanii gani..
Hamuwaonagi akina Davido,wizkid n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe fala nilikuwa navkausingizi nimecheka hadi usingizi umepotea.
 
Nimuonee wivu kwani mi msanii kwamba natamani kua kama yeye?? Wakumuonea wivu ni wasanii wenzake huko sio mimi, na hata wasanii wenzake hawawezi kuinvest muda wao kumuonea wivu msanii alopotea kwenye gemu (Mohombi) zaidi zaidi ni kumuombea na kum bust bust na vi collabo ili arudi kwenye gemu. Kama kuna msanii mwenye anateseka kwa wivu kipindi hiki basi ni diamond maana hilo gape alopigwa na davido si mchezi. Mwanzo alivyo copy instrumental ya davido sikukuona ukimkandia jamaa kua anawivu
It's so good analinganishwa na Davido hata kama 'ameachwa gape kubwa' ref kauli yako manake zamani kuna waliokuwa wakimlinganisha na wasanii wa Kibongo, it's a step forward na akaze buti kwani hizo ndiyo namba anazo'compete nazo kwa sasa.
Wivu ni wivu tu si lazima uwe na wivu wa mtu wa fani yako, it's an inborn thing and the bad part of that shit ni tatizo lisilotibika.
 
Wewe hata mtu mwenye wivu humjui, nachokiona hapo ni u-team diamond ndiyo umekusukuma kuandika hivyo

Tushindwe kusema ukweli unao onekana wazi kuhofia mtasema tuna wivu?

Kwaiyo msanii aki C&P tusiseme ili tusiinekane wenye wivu?
 
Mambo ya timu hizo na mimi wapi na wapi, hapa tunaangalia achievements za wasanii wa Kitanzania na credits wanazostahili.
Kama hawa wanaopigana kufa na kupona mpaka muziki wa kizazi cha hawa vijana hawathaminiwi kwa hii hatua waliyofika je wale walioanza kabla yao na wakabweteka na sifa na umaarufu wa hapa tu mpaka wanajisahau nao wasemwe vipi?
Ni sawa na kumdharau Mtanzania kwa kuchezea Genk ukasema kwanini asicheze Barcelona au Liverpool au hata Man City kama wachezaji wa Western Africa, hatua yoyote ya kusonga mbele hata kama ni ndogo hustahili kuthaminiwa. Maisha ni hatua bora mtu asibweteke na kujisahau.

Nimemuona enrique, shakira luis fons basi. hao jamaa zako hawapo labda kama wamebadili majina
Melodifestivalen 2005.
At the Kora Awards:
Kora All African Music Awards 2003[19]
Kora All African Music Awards 2004[20]
2008/2009: Kora All African Music Awards Nominee 2009/2010 – Best African Artist/Group.
MTV European Music Awards 2011 – Nomination: Best Singer Swedish of the Year.
2011: nominated for Swedish Grammis for Bumpy Ride.
Latin Italian Music Awards 2015 – Mohombi wins a Latin Italian Music Awards for his participation on Pitbull's album DALE.
U.S Grammy Award 2016 – Best Latin Album. Mohombi wins a grammy for his participation on Pitbull's album DALE.
Billboard Music Award 2016 – Mohombi wins a Billboard Award for his participation on Pitbull's album DALE.
Big Apple Music Award 2017 – Best African Act Awards.
In 2018: Mohombi is nominated for the Daf Bama Music Awards in the category of Best African Artist of the Year.
Melodifestivalen 2019.
2019: Mohombi wins an award in the BMI Award 2019, in the category: contemporary Latin song of the year to be composer on the title Mi Gente of J Balvin
 
Hii umecopy wikipedia ikionesha tuzo alizowahi kupata. Mimi sijasema kwamba unioneshe list za tuzo alizowahi kupata, kama hajapotea kwenye gemu nataka uniangalizie kwenye billboard ana hit song gani inayotamba saizi

Hahaha pambana aisee japo ufikie malengo yako.
 
Mambo ya timu hizo na mimi wapi na wapi, hapa tunaangalia achievements za wasanii wa Kitanzania na credits wanazostahili.
Kama hawa wanaopigana kufa na kupona mpaka muziki wa kizazi cha hawa vijana hawathaminiwi kwa hii hatua waliyofika je wale walioanza kabla yao na wakabweteka na sifa na umaarufu wa hapa tu mpaka wanajisahau nao wasemwe vipi?
Ni sawa na kumdharau Mtanzania kwa kuchezea Genk ukasema kwanini asicheze Barcelona au Liverpool au hata Man City kama wachezaji wa Western Africa, hatua yoyote ya kusonga mbele hata kama ni ndogo hustahili kuthaminiwa. Maisha ni hatua bora mtu asibweteke na kujisahau.
Nimekusoma vizuri sana ila kuna kitu kimoja hujakielewa

Simkandii diamond kufanya collabo na wasanii waliokua expired kwenye gemu. Ila napinga kauli ya kusema wasanii aliowashirikisha wapo kwenye chat na wana hit songs zinazokimbiza

Tusiwe wanafiki kusifia kila kitu hata kama hakiendani na sifa kinachopewa kwa dhana ya kwamba ni msanii wa nyumbani anapaswa kupewa pongezi. Kwani ni uongo diamond haja copy&paste? Kwaiyo tusiseme udhaifu huu kwa kukwepa kuitwa watu wenye wivu?
 
Unamshirikisha tu pale mwimbo unapoanza anatamba kidogo
"Yo"
"Another one,tetema"
"We the best music wasafi baby"
"It's diamond Platnumz motherfucker..yo"
"Listen to this,tetema.."
"Dddddddj khaleeeeeeed the best ever...

Basi tu inatosha yule mnyamwezi hanaga mambo mengi..sasa nyie na hao akina mohombi,sijui msanii gani..
Hamuwaonagi akina Davido,wizkid n.k
Umetisha 😂😂😂DJ Khaled anajua
 
Point of correction, hii 'kolabo' ni ya Rayvanny si ya Diamond. Suala la akina Pitbull kuwa ni expired artists hasa tukiangalia wigo wa fan base watakayamuongezea let's be gentlemen and agree to disagreed on that particular matter.
Nimekusoma vizuri sana ila kuna kitu kimoja hujakielewa

Simkandii diamond kufanya collabo na wasanii waliokua expired kwenye gemu. Ila napinga kauli ya kusema wasanii aliowashirikisha wapo kwenye chat na wana hit songs zinazokimbiza

Tusiwe wanafiki kusifia kila kitu hata kama hakiendani na sifa kinachopewa kwa dhana ya kwamba ni msanii wa nyumbani anapaswa kupewa pongezi. Kwani ni uongo diamond haja copy&paste? Kwaiyo tusiseme udhaifu huu kwa kukwepa kuitwa watu wenye wivu?
 
Mambo ya timu hizo na mimi wapi na wapi, hapa tunaangalia achievements za wasanii wa Kitanzania na credits wanazostahili.
Kama hawa wanaopigana kufa na kupona mpaka muziki wa kizazi cha hawa vijana hawathaminiwi kwa hii hatua waliyofika je wale walioanza kabla yao na wakabweteka na sifa na umaarufu wa hapa tu mpaka wanajisahau nao wasemwe vipi?
Ni sawa na kumdharau Mtanzania kwa kuchezea Genk ukasema kwanini asicheze Barcelona au Liverpool au hata Man City kama wachezaji wa Western Africa, hatua yoyote ya kusonga mbele hata kama ni ndogo hustahili kuthaminiwa. Maisha ni hatua bora mtu asibweteke na kujisahau.

umetisha sana mkuu, Ni kweli haters wanaweza wakasema Ili samatta aonekane mchezaji angetakiwa achezee timu zinazotamba kama Barcelona, Liverpool, Madrid n.k Na sio Genk ambayo haipo kwenye top 20 ya club bora duniani
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Point of correction, hii 'kolabo' ni ya Rayvanny si ya Diamond. Suala la akina Pitbull kuwa ni expired artists hasa tukiangalia wigo wa fan base watakayamuongezea let's be gentlemen and agree to disagreed on that particular matter.
Haijalishi nyimbo ni ya nani, Ikiwa nyimbo ya rayvany basi automaticaly mohombi anakua ni mwanamziki aliyeko kwenye chat??

kinacho matter hapa ni ubovu wa msanii alopotea kwenye gemu kunadiwa kua ni mkali ana hit song zinazokimbiza kwenye chat za billboard
 
umetisha sana mkuu, Ni kweli haters wanaweza wakasema Ili samatta aonekane mchezaji angetakiwa achezee timu zinazotamba kama Barcelona, Liverpool, Madrid n.k Na sio Genk ambayo haipo kwenye top 20 ya club bora duniani
Uchawi si lazima uruke na ungo usiku, kuwa hater ni aina moja wapo ya uchawi. Anadharau achievements za mtu ambaye kila kukicha anapigana kusonga mbele na mafanikio yanaonekana, yaani hapa duniani kuna watu wamezaliwa na roho za kichawi ila kuna uwezekano hilo hawalitambui.
Dogo amaeingia juzi juzi tu kwenye game leo anamshirikisha Pitbull kwenye nyimbo, that's a big win for him.
 
Uchawi si lazima uruke na ungo usiku, kuwa hater ni aina moja wapo ya uchawi.
Nacho shukuru mambo ya fairy tale kuhusu uchawi na mengine yanayo endana na imaginations hua siamini, zaidi zaidi watu wa namna hiyo kama yako nawaona kama ni wajinga mliokubuhu. Kama ulilenga kunifanya nikasirike hiyo ni shoot off target
Anadharau achievements za mtu ambaye kila kukicha anapigana kusonga mbele na mafanikio yanaonekana
kwani nani anayepigana ili asonge nyuma?

Na kila achievement ni lazima iwe nzuri?

Kufanya collabo na wasanii waliosambaa kwenye gemu hiyo ni achievment ya kusonga mbele?

yaani hapa duniani kuna watu wamezaliwa na roho za kichawi ila kuna uwezekano hilo hawalitambui.
Pia duniani kuna mijitu mijinga kila itapoona mtu mwingine ana mawazo tofauti na yeye yanaanza kuleta ujinga wa personal experience kumuita mchawi

Roho za kichawi ni hadithi tu hizo ambazo hazi make sense kwangu pengine jaribu kwa wajinga wenzako ndiyo wanaweza kulichukulia kama tusi. Hapo nimemsema mwingine ambaye hata hakujui ni shobo zako tu, lakini cheki ilivyo kuuma mpaka unatukana ningekusema wewe ingekuwaje?

Dogo amaeingia juzi juzi tu kwenye game leo anamshirikisha Pitbull kwenye nyimbo, that's a big win for him.
Iwe kaingia juzi au kaingia jana hiyo haifanyi kua wasanii alowashirikisha wako kwenye chat ya hot 100 billboard
 
Back
Top Bottom