Hili jibu hakulistahili huyu mdada au nilikosea wapi...?

Ila iyo kauli ya kusema me sio baba ako imeniumaaaa...Ila niwaambieni tu kitu Haya ni maisha tu pesa ipo kama unaona unachunwa basi mwambie kiustarabu kuwa ata mdanganye kuwa Niko vibaya au mshahara bado lkn kumtolea shombo namna iyo hapana mkuu unakosea vip kama ni yatima kweli???
 
Sasa mkuu umeombwa msaada wa pesa tu ya stationary povu limekutoka hivyo huyo mke na mtoto itakuwaje!?watakula kweli!!?
Watakula vizuri na matunzo watapata kwa sababu hii moja .
Ukiwa mchungu kwa watu ambao hawana future na wewe ukiwapa mgongo utawekeza nakufanya biashara na vitu vya maendeleo yule mwenye malengo na wewe akija hata kosa mambo ya msingi.
Usipende mwanamke au mwanaume akufanye benki na mwisho wake akaolewa au kuoa kwingine maisha mazuri nikuwanyima wale ambao sio muhimu katika maisha haya.
 
Kuna wakati una akili sana..! Pesa yangu inaliwa na mwanamke mwenye akili ambaye najua ata upepo ukibadirika au nikimtia mimba kumuoa siyo shida. Siyo made wapuuzipuuzi kama huyu kahaba mimi namuwazia mazuri kumbe mpuuzi anawaza jehanamu.
 
Ila iyo kauli ya kusema me sio baba ako imeniumaaaa...Ila niwaambieni tu kitu Haya ni maisha tu pesa ipo kama unaona unachunwa basi mwambie kiustarabu kuwa ata mdanganye kuwa Niko vibaya au mshahara bado lkn kumtolea shombo namna iyo hapana mkuu unakosea vip kama ni yatima kweli???
Wewe utakuwa msukuma wewe..! Wadada wanakera sana pumbacu zao..
 
Nilikuwa najipitia akipatakana sawa asipopatikana sawa tu..

Ndiyo kumanisha wewe hauko kwa group la whatsapp na km upo means huwez kuwa mke si ndiyo maanake
Group nililopo ni la ndugu zangu. Hakuna mapenzi huko, group lingine ni la wazazi huko tunadiscuss mambo yanayohusu watoto shuleni..no jokes..strictly mada muhimu. Huwezi nikuta kwenye group la friends ambao hawana la maana wanalodiscuss.
 
Wakwende huko, midemu inaomba aisei kama mizimu tumbafu zake..
Miaka ya nyuma kidogo kada ya afya na ualimu ndio ilikua inaongeza kutoa waifu matirio, ila kwa wakati huu sijui imekumbwa na balaa gani?
Inawezekana labda kuna mitaala mipya wanatumia.
 
Watakula vizuri na matunzo watapata kwa sababu hii moja .
Ukiwa mchungu kwa watu ambao hawana future na wewe ukiwapa mgongo utawekeza nakufanya biashara na vitu vya maendeleo yule mwenye malengo na wewe akija hata kosa mambo ya msingi.
Usipende mwanamke au mwanaume akufanye benki na mwisho wake akaolewa au kuoa kwingine maisha mazuri nikuwanyima wale ambao sio muhimu katika maisha haya.
Hongera katoto kazuri naona sasa hivi umekua kimwili na kiakili pia, naomba uanze kujiita kakubwa kazuri.
 
Hahahah! Hakika zama zimebadirika..

Back
Top Bottom