Recent content by Wilbert1974

  1. Wilbert1974

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    ...UKE MOYO wa gearbox?![emoji16][emoji44]
  2. Wilbert1974

    Nini hatima ya NTA level 5 clinical medicine 2021

    HAPO mwisho umechapia... NTA level iko hadi 10
  3. Wilbert1974

    OPRAS kwa Watumishi wa umma iondolewe

    Haaa haa haa [emoji2] [emoji2] [emoji2] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Wilbert1974

    Mbunge Ibrahim Raza apata ajali, aangukiwa na mti

    Yawezekana ni tubeless Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Wilbert1974

    Dada ambaye hujaolewa na kaka ambaye hujaoa, unakutana na changamoto zipi katika jamii yako?

    Rudia kusoma mada vizuri maana iko humo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Wilbert1974

    Waziri Mkuu aagiza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kutopewa mradi huku akimtaka Mtendaji Mkuu kujitathmini

    Kwa TBA hili si la kushangaza... Kuna sehemu nondo za ghorofa moja za beam & 1st floor yoote zilisahaulika kwenye BOQ... Mjengo ulikuwa wa Serikali... Lilichua muda sana kukalimika na gharama zaidi... Hi FALSE AKAUNTI ingeanza kipindi hicho tungejenga miundu mbinu mingi sana kwa gharama...
  7. Wilbert1974

    Kimo cha mimba kuwa tofauti na umri wa mimba kuna madhara yoyote?

    Glenohumeral joint, Uliambiwa ujauzito ni Obstetric PATHOLOGY? Huu ni ujuzi kwa MKUNGA kutambua hali ya ukuaji wa mimba. Kabla ya kuamua kumtuma kwenye vipimo vya kutambua ukuaji mimba kwa usahihi zaidi kama Utrausound.
  8. Wilbert1974

    Kimo cha mimba kuwa tofauti na umri wa mimba kuna madhara yoyote?

    Tuko pamoja kiongozi 40-38=2 hapo ni ukuaji na maendeleo ya kawaida kwa ujauzito. Angalizo ulinganifu wa FH & GH unaweza usiwe sahihi kwa baadhi ya jamii... Wafupi au warefu sana.
  9. Wilbert1974

    Kimo cha mimba kuwa tofauti na umri wa mimba kuna madhara yoyote?

    Hakuna kiashirio cha tatizo kama tofauti ya umri wa mimba na kimo cha mimba ni chini ya 5. Umri wa mimba huhesabiwa kwa wiki na siku. Kimo cha mimba hupimwa kwa sentimeta za urefu/kimo. Kukiwa na tofauti zaidi ya 5 inaonyesha aidha mtoto tumboni ni mkubwa au zaidi ya mmoja au mtoto ni mdogo...
  10. Wilbert1974

    Nursing in diploma natafuta tempo

    Uko sahihi kabisa ukizingatia kwenye hii fani kuna mawasiliano mengi ni kingereza katika utoaji...
  11. Wilbert1974

    Nursing in diploma natafuta tempo

    Unatafuta Tempo au TEMBO?
  12. Wilbert1974

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kama vumbi si maji, kwa nini kuku atakate... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom