Nursing in diploma natafuta tempo

Leon jeaph

Member
Mar 9, 2019
88
125
Wakati hapa kathibitisha kabisa "Yes" alichokiandika ndicho anachomaanisha sasa mseme typing error mdhani ana diploma ya nursing wakati mwenzenu ana nursing ya diploma...
Acheni upuuzi wa wengi wa waafrica.....mushaelewa ana diploma ya uuguzi anatafuta kazi msaidieni huwezi achaaa,munakua kama wachawi...kukosoa tuu.
 
Damidizzo

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
402
250
Acheni upuuzi wa wengi wa waafrica.....mushaelewa ana diploma ya uuguzi anatafuta kazi msaidieni huwezi achaaa,munakua kama wachawi...kukosoa tuu.
Sikupatii picha ukiwa unaongea "audio lingual" kama hivi ndivyo ulivyoongea kwa maandishi.
 
vipik2

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
2,395
2,000
Acheni upuuzi wa wengi wa waafrica.....mushaelewa ana diploma ya uuguzi anatafuta kazi msaidieni huwezi achaaa,munakua kama wachawi...kukosoa tuu.

Napenda nimshauri kwanza ajipe week kadhaa za angalau kuboresha kiingereza chake kabla ya kuajiriwa na wizara ya Afya kwani kosa kama alilolifanya hapa basi kwa serious private employer yeye hana nafasii yeye hana nafasi hata ya kuitwa kwenye interview kwa sababu hataweza hata kuandika report ya kazi zake wanini mtu wa hivyo? na kama ni error basi inaonyesha ni lezaafea fulani na ni muhimu pia ajifunze communication techs
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
11,897
2,000
Acheni upuuzi wa wengi wa waafrica.....mushaelewa ana diploma ya uuguzi anatafuta kazi msaidieni huwezi achaaa,munakua kama wachawi...kukosoa tuu.
Wewe ndo uache upuuzi, unaona ni msomi wa kawaida hajui hata alichosomea. Mtu kasomea digrii ya manunuzi na ugavi anatwambia amesomea "Procurement and Supply in Bachelor?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom