Nursing in diploma natafuta tempo

Nursing in diploma natafuta tempo

Napenda nimshauri kwanza ajipe week kadhaa za angalau kuboresha kiingereza chake kabla ya kuajiriwa na wizara ya Afya kwani kosa kama alilolifanya hapa basi kwa serious private employer yeye hana nafasii yeye hana nafasi hata ya kuitwa kwenye interview kwa sababu hataweza hata kuandika report ya kazi zake wanini mtu wa hivyo? na kama ni error basi inaonyesha ni lezaafea fulani na ni muhimu pia ajifunze communication techs
Uko sahihi kabisa ukizingatia kwenye hii fani kuna mawasiliano mengi ni kingereza katika utoaji...
 
Wasiwasi wangu huyu muhitimu atageuza hesabu za dawa (badala ya 1×3 yeye atafanya 3×1)
,ok,nimewaelewa wote,mlio sema sifai ni sawa,ila niwashukuru kwa mawazo yenu,alie soma how to solve conflict .hawezi bishana na nyie nafanya win_lose,,ila shukran sana wadau asanteen
 
Acheni upuuzi wa wengi wa waafrica.....mushaelewa ana diploma ya uuguzi anatafuta kazi msaidieni huwezi achaaa,munakua kama wachawi...kukosoa tuu.
Asante ,kwa kunielewa daima mungu akulinde na akuzidishie katika uelewa wako#congrat
 
Huyu ni kilaza naongea mm nikiwa kama mkufunzi.
 
Ilipaswa umuelekeze na sio kumkejeli.....bado anasafari ndefu sanaa huyo kijana....be care not care to be
Wewe ndo uache upuuzi, unaona ni msomi wa kawaida hajui hata alichosomea. Mtu kasomea digrii ya manunuzi na ugavi anatwambia amesomea "Procurement and Supply in Bachelor?
 
Back
Top Bottom