Recent content by whizzkid

  1. whizzkid

    PPF wamenza kuita watu usaili wa Oral

    Let's hope the best, tusikatishane tamaa wooote twendeni tujiandae kioral na kiwritten, venue ni karibu na maktaba ya taifa oposite na Upanga nursery
  2. whizzkid

    Whatsapp calling activation

    Asante....it works!
  3. whizzkid

    Marketing officer anahitajika

    mimi nina certificate ya insurance ila ya marketing sina ,nina jiamini kuwa naweza fanya hiyo kazi
  4. whizzkid

    Msaada Zilipo Ofisi Za Makampuni Ya Clearing And Forwarding Hapa DAR

    Nenda samora, PPF HOUSE zipo nyingi, huyo mkuu hapo kakuelekeza fresh tu na kakupa na no ya simu so kamata fursa hiyo
  5. whizzkid

    Msaada Zilipo Ofisi Za Makampuni Ya Clearing And Forwarding Hapa DAR

    una shida gani?mimi ni Agent wa Clearing and forwading
  6. whizzkid

    Missed call ya shemeji

    Mh kumbe ndoa zina mambo loh......maskin Aisha alitaka ufree na sasa kaupata yaan kama namuona vile...af mbn hujaongelea mimba ya dada'ke?@daudi1
  7. whizzkid

    Top 10 saddest songs of all times

    Goodbye-celine dion
  8. whizzkid

    Mara ya kwanza ugenini, visa na vituko

    Aiseeee umenifurahisha kwa kweli
  9. whizzkid

    Naombeni msaada kwa mwenye mawasiliano ya kampuni hizi

    Hi, May you please help me I need the following contacts phone numbers or email: 1) 1. Yutong Bus Parts Importers and sellers in Dar Es Salaam 2) 2. Sai Baba Express Workshop Phone Numbers and contacts 3) 3. Big Companies importing Chinese Motor Spares for Yutong Bus or Higer...
  10. whizzkid

    RIWAYA: Siku ya graduation

    Story nzuri sana hongera mtunzi
  11. whizzkid

    Msaada kureset iphone 5s

    Yaani kuna mwanga unatokea kny screen kama two parallel line unakuwa unatembea af somtime imastuck na haisleep
  12. whizzkid

    Msaada kureset iphone 5s

    Asanteni wapendwa yaan mambo yamekuwa mengi kichwani nilijisahau kama naandika kuomba msaada,kwakweli bado sijamalizia kuandika ombi langu ila nashukuruni nilikuwa nataka kujua jinsi ya kureset manually coz nikienda kny general af reset naambiwa niandike passcode na hizo pascode me sizijui
  13. whizzkid

    Msaada kureset iphone 5s

    Simu yangu inashida
Back
Top Bottom