Zipo nyingi tu zenye muendelezo mzuri mkuu
imeisha vibaya bana
Mm haijanifrahsha mwisho wake,,,,inaonesha hakuna room for improvement,,,,mm nltegmea aisha atapata second chance,,,,bt anyway ni hadith tu
Hahahahaha hapo unatengeneza script za muv za kibongohii hapa part 2
Miezi miwili baada ya beka kufunga ndoa na faudhia ,beka alimpigia simu yule meneja Wa benki na kumshukuru kwa msaada wake.meneja aliwaalika beka na mkewe nyumbani kwake kwa ajili ya chakula cha mchana siku ya jpili.
Kule kijijini, baada ya maisha kuwa magumu ime alimua kutorokea mjini ili kwenda kusaka ridhiki kidogo.baada ya kuhangaika hapa na pale akapata kazi ya usafi katika benki anapofanyia kazi fauzia.
Itaendelea kesho SAA tatu asubuhi
Hahahahaha hapo unatengeneza script za muv za kibongo
Tatzo aligundua shuka wakati kumekucha wakat huo tayari Beka alikuwa amechanganywa na penzi la nje, ukipendwa pendeka huyo anayekupenda akipeperuka kumrudisha itakugharimu sanaYan mtu amefumaniwa af analeta jeuri....mbaya zaidi mwenzie kagundua kosa na kuomba radhi lenyewe linakaza tu...mxiiiiiiuuuuu
Mwanamke ndo mwenye kosa halafu, amegundua kuwa kosa lake ni lipi anatumia jihad hata kwa wasio husika, angekomaa kwa mumewe maana yeye ndo aliyepiga hatua za kwenda nje sasa anaanza kuleta timbwili maofisini mwa watu ili iwejeNdo mana mi nlisema huyu Beka shenz zake....
Yan mtu amefumaniwa af analeta jeuri....mbaya zaidi mwenzie kagundua kosa na kuomba radhi lenyewe linakaza tu...mxiiiiiiuuuuu
Tatzo aligundua shuka wakati kumekucha wakat huo tayari Beka alikuwa amechanganywa na penzi la nje, ukipendwa pendeka huyo anayekupenda akipeperuka kumrudisha itakugharimu sana
Mm haijanifrahsha mwisho wake,,,,inaonesha hakuna room for improvement,,,,mm nltegmea aisha atapata second chance,,,,bt anyway ni hadith tu
Tatzo aligundua shuka wakati kumekucha wakat huo tayari Beka alikuwa amechanganywa na penzi la nje, ukipendwa pendeka huyo anayekupenda akipeperuka kumrudisha itakugharimu sana
Mwanamke ndo mwenye kosa halafu, amegundua kuwa kosa lake ni lipi anatumia jihad hata kwa wasio husika, angekomaa kwa mumewe maana yeye ndo aliyepiga hatua za kwenda nje sasa anaanza kuleta timbwili maofisini mwa watu ili iweje