Msaada Zilipo Ofisi Za Makampuni Ya Clearing And Forwarding Hapa DAR

Msaada Zilipo Ofisi Za Makampuni Ya Clearing And Forwarding Hapa DAR

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,831
Yeyote Anayejua wakuu
CONSOLIDATION na ICD Pia
Ahsanteni Sana
Jigo
 
POSTA MTAA WA SAMORA, JMALL BUILDING KUNA MAKAMPUNI YA AINA HIYO ZAIDI YA 20 KATIKA JENGO HILO MOJA. kWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0756756122
 
una shida gani?mimi ni Agent wa Clearing and forwading

Vizuri Sana chief
Sasa Mi Niko Natafuta Field
Naomba Ulibebe Hili Nakabidhi Mikononi Mwako
Ahsante Sana Chief
 
Nenda samora, PPF HOUSE zipo nyingi, huyo mkuu hapo kakuelekeza fresh tu na kakupa na no ya simu so kamata fursa hiyo
 
POSTA MTAA WA SAMORA, JMALL BUILDING KUNA MAKAMPUNI YA AINA HIYO ZAIDI YA 20 KATIKA JENGO HILO MOJA. kWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0756756122

Chief Uko Vizuri Sana....Mpaka Hapo Umenipa Nguvu Ya Kusimama
Shida Ni Field
Kesho NitaFika Samora Haraka Ikibidi!
Ahsante Chief
 
Nenda samora, PPF HOUSE zipo nyingi, huyo mkuu hapo kakuelekeza fresh tu na kakupa na no ya simu so kamata fursa hiyo

Chief whizzkid
HiI Nafasi Nitaitumia Vizuri
Nawe Uko Vizuri Sana
Nasema ahsante Sana
Inamaana Nawe Ofisi Yako Iko Hapo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom