user.name
Member
- Apr 4, 2011
- 53
- 16
mkuu nahitaji msada wa kublock adds maana apps za free nnazotumia km goal.com ni had inaboa bt nashangaa most of apps za kulipia hzina adds
Mara nyingi waandaaji wa apps wanaruhusu kudownload bure kwa kuwa wanategemea adds ziwaingizie kipato. Kwa hiyo kama app inauzwa basi hakuna haja ya kuweka adds kwa kuwa kipato kinapatikana kutoka kwenye mauzo hayo.