Recent content by Weed_Eater

  1. Weed_Eater

    JamiiForums Tanzania Njia 10 za kumtambua mwanamke asiyefaa

    [emoji23][emoji23]
  2. Weed_Eater

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya wanawake katika mahusiano ya mapenzi

    Na bado Utaachwa tu...
  3. Weed_Eater

    JamiiForums Tanzania Ulijinasuaje kutoka kwa mpenzi ambaye ni mshirikina?

    Kwahiyo Amuue, Akaozee Segerea[emoji52]
  4. Weed_Eater

    JamiiForums Tanzania Ulijinasuaje kutoka kwa mpenzi ambaye ni mshirikina?

    Kaa mbali sana... Utakufa Mzima Mzima...
  5. Weed_Eater

    JamiiForums Tanzania Intelijensia: Simba itatolewa kwa kulazimishwa suluhu

    We unaonekana sio mwana simba na hujui mpira kabisa, Ndomana umeandika waraka mkuuubwa wakitopolo.... Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
  6. Weed_Eater

    JamiiForums Tanzania Ushamba wa watangazaji wa ITV

    Umeanza kuingilia Lifestyles za watu...?
  7. Weed_Eater

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

    Kumbe Zitto ndo kampitisha Maalim[emoji41]
  8. Weed_Eater

    JamiiForums Tanzania Kijana linda pochi yako kuliko vyote uvilindavyo

    Uko sahihi kabisa Brother [emoji109]
  9. Weed_Eater

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akitangaza vita jua kamaanisha vita

    Miles45 ni Mnyama nanususu 9... "Aliekwambia Mwanamke anarizika nani...???"
  10. Weed_Eater

    JamiiForums Tanzania Alinizuia pombe ndiyo nimuoe ila leo kawa chanzo changu cha ulevi wa kupindukia

    Usiwaze solution wakat tatizo haulijui, Angalia tatizo ni nini, Ni wewe au ni yeye, Ni kitu gani kinasababisha yote hayo Ukielewa ndio Utasororoa Solution, Ila Ukiwaza kuchapa Maji tu Utasababisha Aongeze dose anayoyafanya...
  11. Weed_Eater

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Fanya Mazoez ya kukata tumbo Afu punguza kula vitu vya mafuta, Acha kunywa Maji ya Baridi na mvinyo...
  12. Weed_Eater

    JamiiForums Tanzania Simtaki mume wangu kabisa kimapenzi, akili yangu ipo kwa boyfriend wangu

    Duuuh! Pazito sana apa...
Back
Top Bottom