Kukata rufaa kazini: Naomba kujuzwa namna ya kukata rufaa ya kufukuzwa kazi serikalini

Gwaje

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
299
85
Nilikuwa mtumishi katika wizara. Nilifukuzwa kazi miaka 3 sasa naomba msaada wa namna ya kukata rufaa nirudi kazini.
 
Mkuu Pole sana.

1. Ulikuwa wizara gani?

2. Walifuata taratibu zote za kukuachisha kazi kwa mujibu wa Sheria ya utumishi wa umma na kanuni zake?

3. Umefuata taratibu zote za kiutumishi pasipo kupata haki unayostahili?
 
Kibarua chako kilichokupa kibri kimeota nyasi. Ungeuliza kabla ya kufukuzwa kazi tungekushauri ufanye nini.

Ukipata kibarua kizuri siku nyingine omba ruhusa isiyo na malipo then unakula mpunga wa Mzunu bila stress.
 
Kibarua chako kilichokupa kibri kimeota nyasi. Ungeuliza kabla ya kufukuzwa kazi tungekushauri ufanye nini.
Ukipata kibarua kizuri siku nyingine omba ruhusa isiyo na malipo then unakula mpunga wa Mzunu bila stress
Nisaidie kujua taratibu
 
Miaka mitatu yote leo ndo unapata akili ya kukata rufaa? Pole sana mkuu. Ila jaribu
Mwenye kuogofya hayupo tena.
Wee huwaoni hata wabunge sasa wana guilt ya kusema chochote tofauti na awali?

Hujamsikia Nape kuhusu wabunge Covid 19, hujiukizi awali alikuwa wapi?
 
Nilikuwa mtumishi katika wizara. Nilifukuzwa kazi miaka 3 sasa naomba msaada wa namna ya kukata rufaa nirudi kazini.
Obvious kuna kosa ulilolifanya
1.Je ulifunguliwa mashtaka ya kinidhamu?
2. Ulijibu tuhuma ulizohusishwa nazo?
3.Uliundiwa tume kwa ajili ya mashtaka uliyotuhumiwa nayo ndani ya siku 90 tangu kupewa tuhuma kimaandishi?
4. Tume ilitoa moja ya mapendekezo kuwa mwajiri akufute kazi?

Kuna tume ya ushuruhishi kwenye mahakama ya kazi kama sikosei ni CIMA hapo ndipo unaeza anzia kwa kukata rufaa. CIMA zipo kikanda. Wapo watu wanarudishwaga kazini vzr kbs namfahamu afisa elimu mmoja kwa sasa yupo kanda ya magharibi huko Kigoma aliponyoka kiivyo!!
 
2.uliundiwa tume kwa ajili ya mashtaka uliyotuhumi2a nayo ndani ya siku 90 tangu kupewa charge?
3. Tume ilitoa moja ya mapendekezo kuwa mwajiri akufute kazi?
Kuna tume ya ushuruhishi kwenye mahakama ya kazi kama sikosei ni CIMA hapo ndipo unaeza anzia kwa kukata rufaa. CIMA zipo kikanda. Tafuta wakili akuongoze.
It is CMA siyo CIMA mkuu. Kuna vitu nimemuuliza hapo juu naona yupo kimya mhusika. I could help him/her. But it seems he/she is not serious with the matter he/she tabled.
 
Obvious kuna kosa ulilolifanya
1.Je ulifunguliwa mashtaka ya kinidhamu?
2. Ulijibu tuhuma ulizohusishwa nazo?
3.Uliundiwa tume kwa ajili ya mashtaka uliyotuhumiwa nayo ndani ya siku 90 tangu kupewa tuhuma kimaandishi?
4. Tume ilitoa moja ya mapendekezo kuwa mwajiri akufute kazi?

Kuna tume ya ushuruhishi kwenye mahakama ya kazi kama sikosei ni CIMA hapo ndipo unaeza anzia kwa kukata rufaa. CIMA zipo kikanda. Wapo watu wanarudishwaga kazini vzr kbs namfahamu afisa elimu mmoja kwa sasa yupo kanda ya magharibi huko Kigoma aliponyoka kiivyo!!
Nilifunguliwa mashitaka ya kinidhamu mwaka mmoja baada ya kosa yaani makosa October 2010, tuhuma November 2011
Nikajibu tuhuma ndani ya muda.
Tume iliundwa miaka 5 baadae ndio nikafukuzwa kazi. Yaani April 2016 nikaomba kurudishwa kazini ndio tume ikaundwa julai 2016 nikafukuzwa.

Naishi kijijini wapendwa mtandao ni shida
 
Obvious kuna kosa ulilolifanya
1.Je ulifunguliwa mashtaka ya kinidhamu?
2. Ulijibu tuhuma ulizohusishwa nazo?
3.Uliundiwa tume kwa ajili ya mashtaka uliyotuhumiwa nayo ndani ya siku 90 tangu kupewa tuhuma kimaandishi?
4. Tume ilitoa moja ya mapendekezo kuwa mwajiri akufute kazi?

Kuna tume ya ushuruhishi kwenye mahakama ya kazi kama sikosei ni CIMA hapo ndipo unaeza anzia kwa kukata rufaa. CIMA zipo kikanda. Wapo watu wanarudishwaga kazini vzr kbs namfahamu afisa elimu mmoja kwa sasa yupo kanda ya magharibi huko Kigoma aliponyoka kiivyo!!
Maamuzi au mapendekezo ya tume iliyokuwa na watu 2 sikuwahi kuyaona. Je nilipaswa kujua mapendekezo yake?
 
Back
Top Bottom