Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,358
Amka wewe, naona bado umelala kwenye karne ya 21, hayo uliyoyataja hapo yana kaukweli lakini na kinyume ya hayo uliyoyataja pia ndio umalaya wenyewe, kwa dunia ya sasa unaweza ukamkuta mwanamke asiwe na hata moja kati ya hayo uliyoyaorodheshwa lakini akawa ndio malaya kuliko hata umalaya wenyewe!1. Ikiwa mwanamke anapenda kuvaa nguo zinazofunua na kuonyesha viungo vyake vya siri mitaani, katika mazingira ya familia au mkusanyiko wa umma, HUYO MWANAMKE NI KAHABA NA HAKUFAHI!
2. Mwanamke anayesema anachukia wanawake wenzake na ana marafiki wa kiume tu. 9 kati ya 10 mwanamke huyo ni MALAYA NA HAKUFAI! JIHADHARI NDUGU.
I'm out.
Prendilo




