Weed_Eater
Member
- Nov 11, 2019
- 35
- 25
Umeanza kuingilia Lifestyles za watu...?
Hayo nayo mkuu yanakuhusu kweli? Wewe kwako mtu akivaa kimodo ndiyo ustaarabu? Mbona jamaa yuko fresh tu!Habari wana jamvi,leo wakati wa kipindi cha michezo baada ya taarifa ya habari mtangazji Amri Masare ameibuka na bonge la shati. Sasa najiuliza ni ushamba au ni staili mpya iliyoletwa na Kofii Olomide.Kama ni staili mpya wana bodi tuambizane.View attachment 1642512View attachment 1642513
Tunaotaka kumtukana huyu jamaa tucomment wap jaman