Recent content by wazirihusika

  1. W

    JamiiForums Tanzania Wasabato kaeni macho na hii kwaya

    Ninachojua moja kati ya watu poa sana hawana maringo na wanapesa ya kutosha ni mmiliki wa hiyo kwaya Bwana Waziri,ni mtu asiye na maringo kabisa,na anaongea na kila mtu.Ameamua kujitolea fedha zake kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji.La sivyo angeweza kufungua bar,au kuwekeza kwenye vitu...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Dakika za mwisho Al-Bashir amebaki peke yake

    UTAFUTENI KWANZA UFALME WA MBINGUNI MENGINE YOTE MZAZIDISHIWA
  3. W

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Wanawake hawakopeshwi pesa

    Yamenikuta hayo sina hamu na wadada
  4. W

    JamiiForums Tanzania Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

    hahaaaaaa Bill walimu tumekukosea nn?
  5. W

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mfumo Mpya wa Manunuzi ya LUKU kwa Government Electronic Payment Gateways (Ge-PG)

    Mkuu Nenda Tanesco watakuambia shida ni nn? Jana yemenikuta hayo leo mwenye nyumba kaenda Tanesco akaambiwa analimbikizo la deni la 1.7m,so meter imefungiwa,akapewa option ya kulipa deni kidogo kidogo tumeambiwa kuifungua meter lazima tununue umeme wa 75,000 kwanza ndio tutapewa maelekezo vizuri.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ni muda upi sahihi kwa mwanaume kuoa.?

    Well explained,tuliochelewa tunayaelewa uliyoyasema
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kwa wahasibu wetu: Nyumba ni 'Asset' au 'Liability'?

    Nyumba ni Asset,hizo cost hazina association na nyumba husika,thise are just living cost,hata kama usingekuwa na nyumba yako still ungelipa bill ya maji na umeme.Ofcourse unaweza kusema siyo asset coz haitengenezi faida,lakini ni moja kati ya utajiri wako ambao wakati wowote u can turn it into...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Nifanye Nini ili Nisitumiwe SMS za Samsung S9?

    Hawa jamaa ni kero kwa kweli.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Bila Neymar Jr, PSG anamtoa Real Madrid mapema tu!!

    Daaah mbinu za ukweli kabisa hizi,lakini tatizo CR7 lazima avizie afunge angalau kimoja ndio shida itakapoanzia hapo.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika

    Napenda watoto wakike zaidia
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika

    Wapo mkuu niamini mimi,sema wachache
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika

    Mungu atanisaidia mkuu
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika

    thank you
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika

    Hahaa hamna bana kuna wengine wanapenda weusi pia.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike anahitajika

    Nimekuelewa mkuu,lakini hizo ndio sifa zangu naamini Mungu atasaidia
Back
Top Bottom