Nifanye Nini ili Nisitumiwe SMS za Samsung S9?

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
60,204
Reaction score
138,467
Wana JF naomba mnisaidie nitumie njia gani ili hawa SAMSUNG waache kunitumia sms za kuhusu Samsung S9. Ni zaidi ya wiki sasa natumiwa sms hizo ambazo kwangu ni kero kwasababu sina hata ndoto ya kununua hio S9.

Kila baada ya muda mfupi sms inaingia nikiangalia S9 BS! Wakati mwingine nakuwa nasubiria pesa kutoka mahali nikisikia sms najawa na shauku, nikisoma sms nakutana na upuuzi wa S9? TCRA haki zetu ziko wapi juu ya hili la kutumiwa sms za hovyo hovyo?!!
 
Hawa jamaa ni kero kwa kweli.
 
Acha bangi wewe. Ulinifanyia wewe hio subscription?

Mkuu hata mimi walikuwa wananisumbua sana lakini tatizo liliisha baada ya kublock hiyo namba......

Nenda kwenye setting za simu yako na uiblock moja kwa moja na utakuwa huru.....

Kiukweli na kero na wanakera sana

Pole sana kiongozi
 
Ngoja nijaribu
 
Ina maana mkuu hujawahi kublock au kublacklist namba kwenye simu yako?
 
Mitandao ya hovyo hovyo kama tgo hata bure na bando la bure la miaka 10 situmii.
 
Back
Top Bottom