SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,076
- 13,953
Ukishajipanga hata nusu ya malengo yako, ni muda sahihi wa kuoa.
Pesa tunazpoteza kwa matumizi ya kuwa single kwa siku moja, yanaweza kuilisha familia siku 4 au 3.
Chamsingi ni kutafuta mtu sahihi ili asije kukuvuruga bali aje kukujenga kiakili na kimaisha.
Ngoja nimnyemeree huyu nione kama atanifaa.