Wadau mbona jibu lipo kabisa hapo,
nafikiri aliyeleta mada kasoma kitabu cha 'RICH DADY POOR DADY' Kadiri ya Kiyosaki ni kwamba ukijenga nyumba pangisha halafu we panga nyumba ya bei ndogo kuliko nyumba yako na salio linalobaki lihudumie umeme, maji, usafi n.k kwenye nyumba uliyopanga. Kama si hvyo basi itumie kufanyia biashara ila si kuishi.
Na gari ni asset au liability?
lipo wapi?
Mkuu wewe ni mhasibu?Je unauelewa wa mambo ya biashara?Hapo nilipohighlight red unawapotosha watu,kuna vitu vinaweza kuwa asset or liability kutegemeana na vinatumika kwa matumizi gani.Nyumba ni Asset,hizo cost hazina association na nyumba husika,thise are just living cost,hata kama usingekuwa na nyumba yako still ungelipa bill ya maji na umeme.Ofcourse unaweza kusema siyo asset coz haitengenezi faida,lakini ni moja kati ya utajiri wako ambao wakati wowote u can turn it into cash.Remember Liability can not be converted into cash hata mara moja,but any asset can be converted to cash at any time.
Pia ukisema asset yeyote inayosababisha gharama flani siyo asset ni liability basi hatutakuwa na Asset coz kila Asset ina kitu tunaita non cash expenditure that is so called depreciation,vilevile all asset zina maintainance cost pia.Note nimezungumzia zaidi Fixed Asset
Ron Paul, kwa mtaxamo UPI kwanza TZ au kule duniani. Kibongo Nyumba in asset ila Kule duniani sidhani, maana wengi wananunua tu na kupanga.Naomba kuuliza hii kitu nimekuta watu wanabisha u turn blog kuhusu hili suala kiukweli kila upande umejaribu kujenga hoja nzito za utetezi lakini kwa kuwa mimi sio mchumi wala mhasibu nikaona niulete huku huu mjadala kwa kwa kuwa huku naamini kuna vichwa kwenye angle hii ya uhasibu na mambo ya uchumi kiujumla;
Yupo mmoja kwa mfano kakitambulisha kwa id kama miss clueless anasema:
"nyumba ni liability.. you
pay all the electricity, gas, and water bills (do you say ni extra income?)
repair sometime.. buy a bunch of stuffs for the "house" ...so ..nyumba
ya mkopo ni liability..and your very own house usiyolipia mortgage inaweza
kuitwa liability pia!"
Huyu anajitambulisha as Miss Financial Advisor yeye anasema:
"Mambo ya kucrem instead of learning ndo tonayoyaogopa. Nyumba is a personal asset
as it increase in value (note the diff, its s not a business asset to generate
income to ur company). Ur personal house is an investment like buying shares or
gold. N the best thing about having nyumba especially in TZ s that its value
increase every year, so when u decides to sell that house, u may even double the
money from ur original investment. Be empowered.
Akajibiwa na Anonymous hivi:
Miss Financial Advisor,
first...you shouldn't call yourself that because you
shame us in finance. A house never appreciates in value only the land and you
should know how to distinguish between a HOUSE and a PROPERTY. when you buy a
land, build and sell it you are a property developer on into property business.
However "when you decide to sell" a house which you've lived in it never
appreciates due to depreciation and emerging new technology, therefore the
appliances and fixtures such as your air condition systems etc would be extinct.
i mean who would pay more for a house with AC yenye chogo linaloning'inia kwa
nje??lol or a house with no tiles or old fashioned window frames etc
Kiufupi mjadala ulikua mkali maamuma wa mabo hayo tumechanganyikiwa hatujui tumsikilize nani,tunaomba wataalam msaidie hapa NYUMA NI ASSET ama ni LIABILITY??????
Mkuu hapa umenena vyema,ukitaka kujua nyumba ni asset au liability lazima ujue nn maana ya asset kwanza(in accounting terms)umenena vyema sana mhasibu.
Nachokiona hapa ni kwamba kwenye nchi hizi zetu zinazoendelea nyumba ni asset coz value yake inapanda coz demand ni kubwa due to high population growth unlike huko ambako ukuaji wa popn ni mdogo na uwezo wa mtu/kampuni kumiliki nyumba ni mkubwa kwa sababu ya kipatoinabidi utembee kidogo outside of TZ ili upanue uelevu wako.
Nyumba sometimes do depreciate its value ie current situation in EU and USA. Basi
atleast soma wats going on around the world my dear, to keep knowledge yako up
to date
HahahHa, mkuu katika Kitabu cha Rich Dad Poor dad kiyosaki kadadavua vema kabisa kuhusu hilo jambo