Mkuu mi mwenyewe siend kujiandikisha piga picha ntakuwa na driving licence, vya benk crdb,nmb, nbc, barclays, cha kazi, cha mpiga kura, cha mkazi, kadi yangu ya chama, card ya afya, vyote hivyo sasa si utakuwa mzigo huo, au utakuja kunisaidia wewe kuvibeba na hii vurugu ya usafiri hapa dsm we...