Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilbload Slaa, akiweka Shada la maua kABURI LA MTOTO WA MANGULA

Mimi nadhani ni lichawi maana lina roho mbaya kupindukia..

mbona we umenzidi kwa kila kitu? hata uchawi wako sijui umeutoa wap'? Ndo mana hamna hata ubinadam mnavibka vitoto vidogo na kuviambukiza ukimwi hi nizaid ya roho mbaya
 
Kwani hao sio binadamu? Kwa hiyo viongozi wa siasa wanatakiwa kuhudhuria misiba ya wanasiasa wenzao tu, vioongozi na watu wakubwa wa kubwa na wenye fedha zao siyo? Just curious
 
3-3.jpg
Kila rakheri raisi wa awamu ya 16 Tanzania.
 
Pole Mangula,Ila jamaa alikuwa anaumwa nn,

Mkuu nikisoma mind yako ni kama unataka uambiwe alikuwa anaumwa UKIMWI. Kama ndivyo unavyowaza basi its not fair, cha muhimu hapa ni kuipa familia pole na kuiombea faraja kutoka kwa MUNGU. RIP Peter hakika familia itakumis sana
 
Back
Top Bottom