ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,017
- 7,220
naona hujui maana ya watumishi wa umma; lile ongezeko la July ni kweli haliwahusu watumishi wote wa umma, hata tangazo lilifanunua. ila ujue kuwa mtumishi wa umma ni mtumishi yeyote anayefanya kazi ktk ofisi/taasisi yoyote ya serikali, iwe wizarani, mkoani, halmashauri, au mashirika ya umma.
Usijifanye mjuaji sana kumbe unaungua na jua tu. Ni bora uulize ili upewe ufafanuzi.
By your definition, je, wanajeshi ni watumishi wa umma?