Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

Udom wamesema heslb watatoa utaratibu kwa waliothibitisha , so subirini .
 

Attachments

  • 1441351104965.jpg
    1441351104965.jpg
    48.7 KB · Views: 348
wakuu vp kwa wale waliochguliwa direct special diploma, kuhusu mkopo inakuaje? mweny kujua msaada?
 
wakuu vp kwa wale waliochguliwa direct special diploma, kuhusu mkopo inakuaje? mweny kujua msaada?

Kuhusu mkopo unaaply kuptia heslb...pia kama ulkua bado hujaaply toa shaka kwa special diploma unaweza ukaaply pale tu utapofka chuon hapo...na mkopo utapata 100%
 
Jamani mimi sijawahi hata kufika pale dodoma,je chuo kipo sehemu gani yaani kunaitwaje?
 
Kwa yeyote ataehitaji msaada unaohusu kozi yetu ya special diploma nipo tayari kuwapa ushirikiano wa kimawazo kwasababu mimi ni mwenyeji wa udom pia ni mwanafunzi wa hii kozi, kwahio msijali watanzania wenzangu kama utahitaji msaada nipigie tu kwenye namba 0716909911/0789389152 nitakuelekeza vilivyo ndani ya uwezo wangu. Mimi naingia mwaka wa pili
 
Back
Top Bottom