KAMA wewe ni mtanzania wahi kitambulimbulisho cha utanzania


Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,537
Likes
43
Points
145
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,537 43 145
Jamani nendeni mkajiandishe ama mkapige hizo picha za vitambulisho,baadae itakuwa noma,huu si mzahana.
Walioko dar zoezi linaendelea wahi mapema leo ama kesho.
 
Delly Mandah

Delly Mandah

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Messages
272
Likes
45
Points
45
Age
39
Delly Mandah

Delly Mandah

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2011
272 45 45
nenda wewe,nitabaki kuwa mtanzania daima bila hata hilo gamba
 
asrams

asrams

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
4,765
Likes
1,989
Points
280
asrams

asrams

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2011
4,765 1,989 280
kitambulisha changu cha kupiga kura kinanitosha
 
W

WAVISA

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Messages
229
Likes
3
Points
35
W

WAVISA

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2012
229 3 35
Mkuu mi mwenyewe siend kujiandikisha piga picha ntakuwa na driving licence, vya benk crdb,nmb, nbc, barclays, cha kazi, cha mpiga kura, cha mkazi, kadi yangu ya chama, card ya afya, vyote hivyo sasa si utakuwa mzigo huo, au utakuja kunisaidia wewe kuvibeba na hii vurugu ya usafiri hapa dsm we ndio utanisaida niwe mwepes pale posta ile jion ninavyogombea gari? walahi wabilahi siendi mimi kuchukua.
 
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
14,154
Likes
5,641
Points
280
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
14,154 5,641 280
Sina hata kimoja....watanifukuza tz
 
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Messages
5,512
Likes
3,507
Points
280
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2010
5,512 3,507 280
Sina hata kimoja....watanifukuza tz
Tena na wewe jinsi ulivyo wala wale jamaa hawatapata tabu kukutambua kama sio mwenzetu..lol.
 
Mama Subi

Mama Subi

Member
Joined
Feb 9, 2008
Messages
89
Likes
17
Points
15
Mama Subi

Mama Subi

Member
Joined Feb 9, 2008
89 17 15
Jamani nendeni mkajiandishe ama mkapige hizo picha za vitambulisho,baadae itakuwa noma,huu si mzahana.
Walioko dar zoezi linaendelea wahi mapema leo ama kesho.
Sio kweli. Hili zoezi in endelevu. Kutakua na vituo maalum vyakuandikisha na kutoa hivyo vitambulisho hapo baadae. Kama wewe in mtanzania utapata tu kitambulisho chako hakuna haja ya kukanyagana huko.
 
Christine1

Christine1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
12,601
Likes
1,463
Points
280
Christine1

Christine1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
12,601 1,463 280
Sina hata kimoja....watanifukuza tz
Hahahaa haaaa
we km mi
bt ngoja nikajiandikishe coz ukiwa nacho hicho kinatosha kabisa kutumika popote
 
kyanaKyoMuhaya

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Messages
1,953
Likes
32
Points
145
kyanaKyoMuhaya

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2012
1,953 32 145
Uje kwangu nitakulinda, namiliki binduki
Aaaaaaah! Aaaaaaaaaah! Kwenye bunduki kuna salama kweli? Afadhali kupelekwa Rwanda, Baba V
 
Last edited by a moderator:
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,537
Likes
2,221
Points
280
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,537 2,221 280
Mkuu mbona unajiamini hivyo?


Papa Mopao, nina shilingi milioni moja hapa.....tafadhali naomba uniimbe kwenye moja ya nyimbo zako. Nitashukuru sana. Tena useme Mkereketwa_Huyu ni moto wa kuotea mbali anaogopwa na serikali kama bomu la nyuklia na Jamii Forum yote iko chini yake.....ohooooo X2.
 
Last edited by a moderator:
charty

charty

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Messages
7,161
Likes
3,150
Points
280
Age
27
charty

charty

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2013
7,161 3,150 280
Mkuu mi mwenyewe siend kujiandikisha piga picha ntakuwa na driving licence, vya benk crdb,nmb, nbc, barclays, cha kazi, cha mpiga kura, cha mkazi, kadi yangu ya chama, card ya afya, vyote hivyo sasa si utakuwa mzigo huo, au utakuja kunisaidia wewe kuvibeba na hii vurugu ya usafiri hapa dsm we ndio utanisaida niwe mwepes pale posta ile jion ninavyogombea gari? walahi wabilahi siendi mimi kuchukua.
Hahaha ucjal watakutambua tu!si una ile alama ya ndui mkononi???
 
morphine

morphine

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
3,032
Likes
341
Points
180
morphine

morphine

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
3,032 341 180
Dar sasa hivi wako maeneo gani?
 
M

Mponjori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Messages
2,208
Likes
9
Points
0
M

Mponjori

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2011
2,208 9 0
mimi foleni imenishnda!
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
45,952
Likes
32,792
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
45,952 32,792 280
Kwani walishatoa sasa hivi hawatatoa tena?
 

Forum statistics

Threads 1,252,304
Members 482,076
Posts 29,803,362