georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,120
- 1,881
Karyongi halifanani na jina la Kitanzania, siyo mkenya huyu???JF utaipenda tu, hata kama hutaki lol!
Haya wewe karyongi njoo huku urudishe hela za hotel yetu
Karyongi halifanani na jina la Kitanzania, siyo mkenya huyu???JF utaipenda tu, hata kama hutaki lol!
Haya wewe karyongi njoo huku urudishe hela za hotel yetu
Hapo umepigilia msumari penyewe. Eti , huyu mwizi ana huruma! Kama watu wamekosa cha kusema wakae kimya.Pesa ya kujenga hoteli watoe waumini (na zilipatikana pesa za kutosha floor 6), njama ya kukopa aianzishe yeye na askofu Rafiki yake, wale wao pesa iliyokopwa leo hii mtu huyo huyo eti anashangiliwa kuwa kaiokoa hoteli isiuzwe!!! Kweli aliewaloga Watanzania kafa!
Mnamshangilia mwizi???!!!!!???
Hapo umepigilia msumari penyewe. Eti , huyu mwizi ana huruma! Kama watu wamekosa cha kusema wakae kimya.
Mkuu umeongea ila acha asaidie arudishe rudishe alizoba ila urais simpi ng'ooo labda wengineWazili mkuu aliefukuzwa kwa kashfa ya kuuibia nji milion156 kwa siku, nae sasa amekua na huruma
nilijuwa tu wafahidhina hamtakosekana!!
Wewe Bw.Karyongi Bw.John Njoroge yupo wapi?View attachment 123900
Karyongi halifanani na jina la Kitanzania, siyo mkenya huyu???
Pamoja na kuitumikia ccm, BAKWATA haina hata ka mgahawa licha ya hotel,hospital,university!halafu bado hao hao waislam wanaishabikia ccm, huku social development zeroTunawatakia heri katika kazi hiyo.
Pamoja na kuitumikia ccm, BAKWATA haina hata ka mgahawa licha ya hotel,hospital,university!halafu bado hao hao waislam wanaishabikia ccm, huku social development zero
Anatengeneza mazingira,kumbe watu bado wana kumbukumbu.Wazili mkuu aliefukuzwa kwa kashfa ya kuuibia nji milion156 kwa siku, nae sasa amekua na huruma
Kwanini waliokula hizo fedha wasishtakiwe?
Huyu anatafutwa kama kafichwa hapo Hotelini semeni![]()
Wazili mkuu aliefukuzwa kwa kashfa ya kuuibia nji milion156 kwa siku, nae sasa amekua na huruma
Hiyo hoteli inafaida gani kwa waumini? Na je waimini walishwa elezwa hizo pesa zilizo kopwa zilitumikaje? Na je wakati wa kukopa waumini walishilikiswa?
hotel ni kitega uchumi cha kanisa!ni chanzo cha mapato.mkopo ndio uliotumika katika ujenzi wa jengo la hotel!Hiyo hoteli inafaida gani kwa waumini? Na je waimini walishwa elezwa hizo pesa zilizo kopwa zilitumikaje? Na je wakati wa kukopa waumini walishilikiswa?