Recent content by Wakumwitu

  1. Wakumwitu

    Wachaga waongo

    Kwa hili hata mimi nilikuwa sijui, lazima ningesema jamaa kapiga fix ya kufa mtu. Ila wakati mwingine kabla hujamwita mwenzio muongo uliza kwanza kama alichoongea kina ukweli wowote kwa watu wengine.
  2. Wakumwitu

    Namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipatia sehemu ya kujishikiza

    Good for you brother. Endelea kumtegemea Mungu kila siku na utafanikiwa zaidi na zaidi.
  3. Wakumwitu

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    kila lililojema kwa MCC
  4. Wakumwitu

    Habari ya kusikitisha TBC 1 leo usiku

    Ujumbe wa kuchangia mzuri, lakini umeharibu kuanza kuponda na kusifia upande mmoja. Inaonekana wewe ni mwana Chadema. Itakuwa ngumu kwa mwana CCM akiona uzi huu kuchangia. Hisia zako umeziweka pabaya sana. Suala la ugonjwa wa huyu mtoto umelipeleka kisiasa badala ya UTU. Ugonjwa hauna siasa ndugu.
  5. Wakumwitu

    UDOM will soon start making SOFTWARE to be used for MICROSOFT platforms

    Tatizo waliosoma UDSM wanaona wengine wote waliosoma vyuo vingine Tanzania hawajaenda shule. Nakumbuka hata miaka ya nyuma Mzumbe ikitoa wahasibu wazuri, na lazima waajiliwe kwanza...ndipo wale wa Bcom ya mlimani waajiliwe. Ilikuwa issue kuponda Mzumbe. Hebu tujaribu kuwa "positive" kwa...
  6. Wakumwitu

    Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

    Mdau angalia Quality ya hizo Div 1 na II na siyo Quantity. Bila shaka utajua ni kwa nini St. Francis wanaongoza. Au mfano mdogo tuu ni: Mimi nina "A" ya 85 na wewe una "A" ya 90. haiwezekani mm niwe wa kwanza wakati wewe una maksi za juu. Bila shaka umenielewa.
  7. Wakumwitu

    Mwanamke kucheka wakati wakufanya mapenzi

    Usitishike mkuu ni maumbile tuu. Huwa ni aina ya wanawake wakinogewa wanacheka badala ya kupiga kelele. Angalizo usifanye utafiti sana, zote zinafanana tuu. Kuwa na mpenzi mmoja tuu inatosha Dunia imeharibika.
  8. Wakumwitu

    Nelson Mandela, South African Icon of Peaceful Resistance dies at 95

    "Mandela ni mwana wa Africa eeeeh afunguliwe Mandela" Rest in Peace Madiba.
  9. Wakumwitu

    Hii ni Suprize! au Nadanganywa tu?

    Hapa mimi ngoja nijipitie tuu. Ushahidi wa mtu kutolewa manundu siutaki...mimi huyooooooooo
  10. Wakumwitu

    HII ndo Mikoa tajiri Tanzania (Kwa mujibu wa BOT), Mbeya yaishinda Arusha...

    Do you really know Mbeya? or, you are just obsessed with Tanzanite and Tourism? Do you know Mbeya, has Gold, Coal(kiwira and Mbozi) Natural Gas, Agriculture (coffee, maize, banana, cocoa, rice etc to name a few) do you know Mbeya is one of the four Region feeding Tanzania? Do you also know that...
  11. Wakumwitu

    Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    I will have to do my own research on this
  12. Wakumwitu

    Notice ya kuacha job ndani ya 24 hours!

    Kuacha kazi masaa 24 maana yake ni kuwa unavunja mkataba. Ndiyo maana unatakiwa ulipe hiyo Basic salary. Kama wengine walivyosema. Kama huna haraka toa notice ya mwezi mmoja then uachane nao. Ila kama umepata kazi nyingine na wanakuhitaji haraka basi...lipa hivyo basic salary na wakupe risiti...
  13. Wakumwitu

    Mke wa rafiki yangu anataka kutembea na mimi ili kulipa kisasi...

    Mmmmmh kazi kweli kweli. Sisi wenye wake tuna mitihani kweli. We haya mambo yasikie Kwa mwenzio tuu.
  14. Wakumwitu

    Ninampenda sana, lakini hajawahi kuniambia "nina hamu na wewe"

    Binadamu tunatofautiana sana. Anakupenda sana mshukuru Mungu. Atakuwa anakuwa na hamu na wewe lakini ujasiri wa kukuambia hana. Na hayo ni maumbile ya kila mmoja. Just appreciate the way she is!
Back
Top Bottom