Huo uaminifu umeenda wapi jamani? Miezi 3 tayari, uliyembebesha mkoba ushamwona hakufai, unaukumbuka mbachao! Makubwa!
Kichaa ni wewe, unatoka wapi na mke wa mtu? Humu humu jf, juzi tuu walituonesha libaba zima linatembezwa uchi wa chui. Bila hata madoa doa. Kisa, kafumaniwa, alafu ati unamwambia amwambie huyo buda wake kuwa ujauzito huu si wako ni wa ma exbf. Mbona majanga? Mtwae kwanza aje kujificha huko kwako halafu ampigie simu. Unataka tusikie kitu kimenuka humu jf? Acha kumdanganya mke wa mtu.
Mwambie avumilie kidogo, siku 90 si nyingi, atotoe halafu amruhusu mwenye mali aoteshe cha kwake, avilinganishe nyuso na vidole gumba. Hiyo ni DNA ya kiasili, kama ni vifaranga vya mtu mmoja vidole gumba vitafanana