GJHariohay
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,041
- 1,161
unanikumbusha Ray c, hivi mnasema kweli alisaidiwaga na mkulu. naomba magogoni iwahi kupata picha wakitoa cheki ya dolari, ikatumike kaleeeengaaaa.
back to the topic, namuhurumia sana dogo pamoja na mama yake, kama iliwekwa namba iliyotolewa na hawa wasiopenda tulione bunge la katiba likiwa kazini, iwekwe hapa jukwaani.
ANGALIZO:-
Namba ikiwekwa liwekwe na jina tushaumwa na nyoka ( Chris Lukosi ) hakawii kurukia treni kwa mbele.
Dah umenichekesha sana mkuu
Last edited by a moderator: