Recent content by WABALLA Inc

 1. WABALLA Inc

  Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

  Sina haraka nitaenda saa 15:58 ili nyuma yangu awepo askari.
 2. WABALLA Inc

  Wanaume Wabishi ndio tumebaki hewani

  Hahahaha Kuna fundi simu huku leo ana foleni wabongo wanampelekea simu zimeharibika mtandaoni hawaingii awatengenezee
 3. WABALLA Inc

  Fastjet taabani, washindwa kulipa mishahara wafanyakazi wao.

  Hali ni tete hata abiria walioahirishiwa safari mwezi Disemba hawajalipwa. Sijui tunaenda kulalamikia wapi?
 4. WABALLA Inc

  JE NI KOSA KUMPA JIRANI MAJI YA IDARA YA MAJI?

  Habari wana jamvi? Kwa wale wenye uelewa na kanuni za Idara za Maji, ninatumia maji ya bomba kutoka Mamlaka ya Maji ya Mji mmoja. Ninavyojua kisheira hairuhusiwi kuuza maji bila idhini ya mamlaka husika. Nina jirani yangu amabye aliomba kutumia/ kuwa anachota maji. Kama mnavyojua jirani yako...
 5. WABALLA Inc

  Raha ya kupanga chumba kimoja

  hahahha
 6. WABALLA Inc

  Ni kwanini wanandoa hufikia uamuzi wa kuvunja ndoa?

  Kuna tofauti kubwa kati ya kuendana na kukubaliana
 7. WABALLA Inc

  Ni kwanini wanandoa hufikia uamuzi wa kuvunja ndoa?

  Ukiona watu wameachana jua hawakuendana, walilazimisha tu labda kwa kutofatiliana zaidi kujuana mazuri na mabaya/ndani na nje. Ila wengi sasa hivi hatuna uvumilivu wa kuvumiliana mapungufu. ukichanganya na dunia hii ya digitali ndio basi "waja leo waondoka leo"
 8. WABALLA Inc

  Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

  Madomo zege ndio wanatongoza mitandaoni :D:D:D:D
 9. WABALLA Inc

  Open university of Tanzania

  Diploma kuna course za Kitivo cha Sayansi ya Jamii??
 10. WABALLA Inc

  Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

  Mkuu unajua miji mingapi?Mie nimeongelea "mijini" wewe unaongelea "mji" labda unaangalia mji mmoja ambao wewe una uzoefu nao. Mfano mie najua mwanamama ambaye anafanya hii kazi na anapiga hela za kutosha.
 11. WABALLA Inc

  Movie ya black panther haiakisi maisha ya Africa

  Mwenye link ya kudownload hii movie naomba
 12. WABALLA Inc

  NAFASI YA KAZI (PROJECT COORDINATOR VACANCY)

  Organization: Bunda Farmers Development Support Organization (BUFADESO) Role: SEMA Project Coordinator Project: Initiative for conservation of Mara-Serengeti Trans-boundary Ecosystem (SEMA) Duty Station: Mara, Tanzania Reports to: BUFADESO Project Coordinator. Contract Period: 1st of May...
Top Bottom