Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Habari zenu wana MMU,
Usidanganyike na mada zao.
Usidanganyike na avatar zao
Usidanganyike na swaga zao.
Usidanganyike na usomi wao.
Usidanganyike na kejeri zao humu jukwaani.
Usidanganyike na kujifanya mambo safi
Wanaoponda wanaume wafupi, mara wasio na magari mazuri.
Wengi wao ukikutana nao hutaamini kile ukionacho mbele ya macho yako.
Huyu
Acha nipambane na hawa wa kina mwajuma ndala ndefu wa huku kwetu KIMBANGULIRE.
Leo ninatubu na storudia kumpenda mtu kwa avatar yake au picha.
Camera za 360 na simu za tecno zinawapendelea sana.
Nasema hivi .
(NIMETUBU SITARUDIA)
Muwe na na siku njema.
Madomo zege ndio wanatongoza mitandaoni 😀😀😀😀
 
Nimekuelewa unachomanisha ila utata unaibuka pale ambapo mtu huyo ni mtu wa kuponda wanaume mara wako hivi, utasikia mara hapendi wafupi mara wa aina fulan au hadhi fulani kwahyo unapoenda kukutana nae unaenda kwa matarajio ya kukutana na bonge la mwanamke mwenye IQ kubwa kumbe daah acha niishie hapa
Hahahah af unakuta goma kama Ebitoke
 
Baba Gluk pole na yaliokusibu baba, mimi nimekuelewa sana lakini usidhani uko peke yako kwenye maswahiba hayo kuna wengi yamewakumba hapa wanaugulia maumivu kimya kimya. Nawafahamu kadhaa waliwahi kuvuka hadi mikoa wengine wakipanda ma dream liner yale madege ya magufuli na mahasara kibao, wamefika wamekodi mahoteli ya gharama sana wanajiandaa kuua mtu, mtu mwenyewe anapojitokeza na kuona jinsi alivyo ni majuto makubwa wapo, waliokwenda kupokea ugeni ubungo tena usiku mnene wakiliwa na mbu kusubiri vitamu na mwisho wakajuta wapo. Nakwambia wapo hapa. Usilie sana mkuu wapo wengi.
Unapoteza gharama kubwa kwa maandalizi babu kubwa.
 
Kwahiyo mkuu jina utatutajia au niende tu nikapike?
Nimekuelewa unachomanisha ila utata unaibuka pale ambapo mtu huyo ni mtu wa kuponda wanaume mara wako hivi, utasikia mara hapendi wafupi mara wa aina fulan au hadhi fulani kwahyo unapoenda kukutana nae unaenda kwa matarajio ya kukutana na bonge la mwanamke mwenye IQ kubwa kumbe daah acha niishie hapa
 
Nimekuelewa unachomanisha ila utata unaibuka pale ambapo mtu huyo ni mtu wa kuponda wanaume mara wako hivi, utasikia mara hapendi wafupi mara wa aina fulan au hadhi fulani kwahyo unapoenda kukutana nae unaenda kwa matarajio ya kukutana na bonge la mwanamke mwenye IQ kubwa kumbe daah acha niishie hapa
Sasa kuponda si uamuzi wake mkuu kila mtu hukoment anachojiskia na huwezi kumpangia wengine huchangamsha genge tu. Sasa wewe expectation zako ndo zimeku cost pia kuanzisha Uzi ni lack of maturity lengo lako ilikuwa kumzalilisha tu.
 
Msichojua ni kuwa ID za kike nyingi ambazo ni maarufu wengi wao ni manungaembe sura mbovu maumbo kama biringanya matumbo yamening'inia mpaka yameziba kinena cha bibi miguu fito

Kuna mmoja maarufu sana humu ni shapeless balaa ana pasi ya adabu lakini anavyojishebedua

Maarufu wengi humu ni magarasa ukitaka vyombo tafuta ID zisizo maarufu hakika utafurahi lakini maarufu utakutana na midume myenzio yenye k
 
Hahahaha, asee hii Kali
 
Back
Top Bottom