Recent content by WA UKAYE

  1. WA UKAYE

    Biashara ya movies na jinsi ya kufuatilia

    Habari wadau, Nimuda sasa nimekua na wazo la kuanzisha biashara ya kuuza movies mbalimbali ambazo nitakua nimeserve kwenye server fulani. Tatizo mimi ni muajiliwa na sintokua na muda wa kuifuatilia kwamba kwa siku zimezwa movies ngapi kwa kunyonywa kutoka kwenye computer Naomba wadau kama kuna...
  2. WA UKAYE

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Thank you mkuu
  3. WA UKAYE

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nitafutie ndugu yangu,naona hata kwenye youtube hakuna
  4. WA UKAYE

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Jina silijui lakini kuna sehemu anasema "Umeniacha kwenye usiku wa giza nene...na mvua kubwa ya mawe yenye hasira"Zilipendwa
  5. WA UKAYE

    Vijana jifunzeni programming you wont regret it

    Vipi hii kitu wadau,ni lazima uwe umesoma IT au mtu yeyote mtundu anaweza kuisoma hii kitu?
  6. WA UKAYE

    Aveva, kaburu kukaa rumande mpaka July 13

    Duh cha muhimu kwa sasa ni kwenda kulima tu...
  7. WA UKAYE

    Ndesamburo aagwa kwa mara ya pili

    RIP Baba
  8. WA UKAYE

    Swali la kitaifa: Ni lazima Tanzania ichimbe madini?

    Its all about proper control..Hatukua na control nzuri ya hii kitu wadau
  9. WA UKAYE

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Tunabaki kuwa ma maswali mengi ambayo yote hatuna majibu,hivi haya mambo siku zote katika kipindi cha mzee wa Lushoto na yule wa Bagamoyo haya mambo yalikua hayaonekani au ndio hivyo tulukua tunafanya kazi kwa mazoea...Kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo
  10. WA UKAYE

    Maneno mawili KA na TA yalifanyiwa kazi?

    Wanandugu,nimekumbuka yale maneno mawili ya Mhehimiwa yaani KATA, Vipi haya maneno yalifanikiwa kufanyiwa kazi upande wa Tanzania visiwani au yalipotea kama mengine yanavyopoteaga? Nakumbuka pia yule mheshimiwa wa kule kama alitupa dongo fulani kwa uhakika kwamba haya maneno mawili...
  11. WA UKAYE

    Rais Magufuli amteua Prof. Chibunda kuwa Makamu Mkuu chuo cha SUA

    Mimi pia sijaona ubaya kwa huyu profesa,alikua SUA kwa muda mrefu tu,akapata presidential appointment na kwa sasa amerudishwa tena SUA, Here its like returning to your home land!
  12. WA UKAYE

    Zijue faida 5 za kulala uchi (naked)

    Wewe kua uyaone...
  13. WA UKAYE

    Nini kinaendelea kati ya Makonda na Steve Nyerere

    Ila hili swala la kukataza machinga kuuza movie za nje ili kukuza Movie za bongo halijakaa vizuri ki vile..........
  14. WA UKAYE

    Mwanamke anaweza kufika kileleni mara tatu mfululizo!!

    Kwani wale G TV waliokimbia Tanzania wamerudi??
  15. WA UKAYE

    Mwili wa marehemu Sir Andy Chande wachomwa moto

    Mi mgeni hapa,Wanaruhusu kuja na mfuko wa rambo?
Back
Top Bottom