Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,278
- 25,846
Waungwana, ni kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Tanzania, nchi yetu tunayoipenda sana, ni lazima ichimbe madini yake? Tanzania itaathirikaje ikisitisha uchimbaji?
Kwanini uchimbaji wote usisitishwe ili mambo yote yanayozunguka sekta ya madini yarekebishwe kwanza?
Altenatively, kwanini kama taifa, tusipitie upya mikataba yote ya madini na nishati ili kurekebisha 'makosa' yote yaliyofanyika wakati wa kuingia mikataba hiyo?
Vyote vinawezekana kupitia marekebisho ya Sheria.