Recent content by Vumilia Shida

  1. V

    Employment vs Politics

    Wakuu heshima yenu. Naomba mwenye muongozo wa katibu mkuu juu ya watumishi wa umma wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa mf. Ubunge tafadhali. Natanguliza shukrani.
  2. V

    Moto mkubwa wateketeza maduka maarufu ya vinyago Arusha

    Sasaa walienda kufanya nini kama hawakuwa na maji. It is as good as nothing.....Yaani fire hawa kwakweli hapana aisee... wanatia hasira sana
  3. V

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    hivi mi nashangaa sana watu wanavyomtupia lawama kamumba. Baba akunyanyase na asikujali wala kujishughulisha na wewe toka utoto, leo umekua na mafanikio ndio anajitia eti ni mzazi wako! Uzaza ni zaidi ya kumwaga mbegu na kutungishaa mimba jamani. Kanumba alikua na haki ya kueleza hisia zake...
  4. V

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Niko kwenye mobile otherwise ningekugongea likes kama kumi hivi. Watu wengine bwana...aaarrgh!
  5. V

    Ukitaka kumchuna mwanaume......mwongozo

    aiseee umenifungua macho Bishanga! Napitia brandy sasa hivi nim surprise leo.
  6. V

    Kwa wadada tu..

    thubutuuuu! Yaani mtu anipige kisa nimemuuliza yuko wapi? Hee...I reserve my comments for now na pole zake huyo mwanamke ulienae coz amepata tatizo sio mume.
  7. V

    Wasichana wa Bongo mbona sio waaminifu?

    Kwani ni lazima uoe tanzania ambako sio waaminifu? Si uoe huko huko ulikoona waaminifu?
  8. V

    Hivi 'audience' ya Clouds Fm ni nani?

    thread za kike zikoje na za kiume zikoje? I hate mwanaume anaedharau wanawake. Bila uwepo wa u-kike wewe ungekuwepo vipi duniani? Watu wengine mnakera sana...tpuuu
  9. V

    Wakinadada

    well said
  10. V

    Wenyewe mpoo?

    Ahsante AshaDii
  11. V

    Nyumba ndogo raha bana - wanaume tu

    Tpuuuu! Kwaio wewe ukiwa na stress unakimbilia nyumba ndogo? Tena kumbe haimalizi stress bali inapunguza. Natanguliza pole za dhati kwa mkeo!
  12. V

    Wenyewe mpoo?

    Mvumilivu hula mbivu na Mchumia juani hulia kivulini
  13. V

    Wanaume tukome kuwekeza kwa mahawara!

    maraliangono!!! Kwi kwi kwi. Kweli jf inanipa kucheka always. Viva jf na members wake wote
Back
Top Bottom