Wenyewe mpoo?

Vumilia Shida

Member
Jun 5, 2011
21
1
Hellow wana jf.
Nimekua mhudhuriaji wa jukwaa hili kwa muda mrefu kabla ya kuamua kujiunga. Na hata baada ya kujiunga miezi michache ilopita, sikuwa nimejitambulisha. Nipokeeni niwe mmoja wenu coz jf ina mengi ya kujifunza na kujiburudisha pia.
 

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,581
5,338
karibu, ila nikuuliza swali: kwa nini unajiita vumilia shida na sio pambana na shida? ukiivumilia maana yake umekubali ikutawale... just a question.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom